Recent content by MARCO JOHN

  1. MARCO JOHN

    Wapo radio FM inatoa habari za Uchaguzi kwa Upendeleo

    Wakuu hiki kipindi hawa wanaojiita maaskofu mbona wanahubiri siasa za ccm? Wanadai eti mfumo uliopo isibadilishwe kwakua tutarudi kuanza kuitafuta upya amani Hawa watu wapuuzwe sana kwakua wanaleta chuki na upotoshaji
  2. MARCO JOHN

    James Mbatia aizika rasmi NCCR - MAGEUZI vijana wazalendo njia panda

    Haizika ndio naani? Toa huu u(mkapa)
  3. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    Samahani mkuu namaanisha umri wa 35 ni mtu mzima ambaye anahitahi kufanya mambo mengine ya maana zaidi ya kutafuta mke kwasababu naamini kwa walio wengi umri huo wanakua wamesha oa
  4. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    Asante kwa swali nzuri nadhani ingefaa sana kwa mwenye range ya 19-25 na kuhusu mtoto tungejadiliana within that transition period
  5. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    😀😀 kwa umri huo hapana sidhani kama ningefikiria kuoa maana i could have a lot of things to worry about zaidi ya mke
  6. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    Mkuu huo mteremko inaonekana huwa ni very steep.....anyway i am serious ila kuna vitu kucheka haizuiliki
  7. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    😂😂 yaan ww mtu funny in serious. kitambi sina mm na hela nazo ni za mlo wa mtanzania wa chini kabisa
  8. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    Siwezi kubeza mawazo yenu I still have faith mwenye nia ani PM tafadhali
  9. MARCO JOHN

    Natafuta a serious wife to be

    Heshima kwenu wanajamvi, Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa chuo ila Drama zilinishinda and i decided to be single and the plan was successful. Ila sasa...
  10. MARCO JOHN

    Baada ya kutafakari sana, huyu ndiye nitakayemchagua kuwa rais wangu!

    Kuna watu kama ww umejiunga juzi tu Jf kuja kufanya kazi ya propaganda humu una uhakika na unachokiongea?
  11. MARCO JOHN

    Forever Living imeniachanisha na mke wangu

    mkuu umenena vyema sana kwakweli huu ni upoyoyo kama anaogopa kutoa talaka tafuta nyumba ndogo huku mwache yeye akae na wewe uwe unakuja kuangalia tu watoto ila papuchi yake na wewe susa kula the fresh one ila usiache kulipa ada na mazagazaga mengine ya watoto na usisahau kuondoka na hati za...
  12. MARCO JOHN

    Msaada ku Unlock i4n yenye At & t network lock

    wakuu kuna yeyote anayejua ninapoweza ku unlock iPhone ya mtandao wa AT&T natanguliza shukrani
  13. MARCO JOHN

    iPhone 5 inahitajika

    waungwana simu tajwa hapo juu inahitajika iwe kwenye condition nzuri kabisa isiwe na scratches au clarks. bajeti ni 400,000
  14. MARCO JOHN

    Ninauza simu iPhone, Sony na Huawei

    picha mkuu
  15. MARCO JOHN

    iPhone 4s BLACK - No Mikwaruzo | Barely Used

    Mkuu 300k tufanye biashara
Back
Top Bottom