Natafuta a serious wife to be

Natafuta a serious wife to be

Hahahaahaaaa John ucjal baby kitambi kitaota ucjali nitafute inbox
 
Ila umri uwe miaka35 na kuendelea maana vijana au serengeti boyz cwawez mziki wao hahahahaaaaaahaaa John
 
Hahahaaaaahaaaa kumubania mhim bhana cunajua tena mambo mazur hayataki haraka , af mtaka cha uvunguni shariti ainame bhaaaaana!
 
Hujaweka age limit,wadada wengi wana watoto cku hizi je unasemaje
 
Ila umri uwe miaka35 na kuendelea maana vijana au serengeti boyz cwawez mziki wao hahahahaaaaaahaaa John

😀😀 kwa umri huo hapana sidhani kama ningefikiria kuoa maana i could have a lot of things to worry about zaidi ya mke
 
Ujana ule nanani eda umalize na jf loh
 
Hujaweka age limit,wadada wengi wana watoto cku hizi je unasemaje

Asante kwa swali nzuri nadhani ingefaa sana kwa mwenye range ya 19-25 na kuhusu mtoto tungejadiliana within that transition period
 
Mmmmmmh umenichanganyia na kimombo umenipoteza jaman

Samahani mkuu namaanisha umri wa 35 ni mtu mzima ambaye anahitahi kufanya mambo mengine ya maana zaidi ya kutafuta mke kwasababu naamini kwa walio wengi umri huo wanakua wamesha oa
 
Back
Top Bottom