Recent content by maramia

  1. maramia

    WB: Nchi 5 zinazokopa zaidi Mikopo ya riba nafuu kupitia dirisha la IDA. Tanzania ya 3

    Tumekopa weeee mpaka wakopeshaji wametuchoka sasa wanatukopesha kwa huruma
  2. maramia

    MSAADA: Mirathi ikiwa wamebaki wajukuu tu

    Hebu tudadavulie hii mkuu
  3. maramia

    Mali iliyotokana na mgao wa urithi inauzwa?

    Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya marehemu baba aliyefariki mwaka 2007. Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na...
  4. maramia

    Tamko la makamu wa Rais la kuingia bure Nanenane lapuuzwa Huko Mbeya

    Watakuwa wamempuuza kulingana na cheo chake kisicho na mamlaka
  5. maramia

    Umoja wa Afrika (AU) Waridhia kumuunga mkono Dkt. Tulia kuwa mgombea pekee kutoka Afrika nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani

    Ataangushwa na matendo yake katika uendeshaji wa kibaguzi wa vikao vya Bunge la JMT
  6. maramia

    Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

    Kinara wao alisepa nao mkuu
  7. maramia

    Ofisi za Maprofesa na Madaktari wa UDSM zinathibitisha namna Taifa lilivyofeli. Je, hata majumbani kwao wanaishi kwa dhiki hivi?

    Wewe naye! tangu lini majalala yakawa na mandhari ya kuvutia, mbona umemtaja Kabudi hivi hukumwamini alipomsifia JPM kwa kumtoa jalalani?
  8. maramia

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atasalimika na Sakata la Plea Bargain?

    Kwa ujinga wa wakubwa wa nchi hilo ni kaburi lililokwisha fukiwa halifukuliwi, full stop
  9. maramia

    Kasesela: Mke wangu aliota ndoto joka kubwa linaninyemelea na baada ya siku 2 nikatumbuliwa u-DC, Marafiki wangu wote wakanikimbia!

    Mbona kama nimekuona kwenye ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa au ni Kasesela mwingine.
  10. maramia

    Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Wewe naye usipoandika pumba unaandika utumbo! badala ya kusema nchi zenye uchumi unaokuwa kwa kasi unasema nchi tajiri.
  11. maramia

    Gerson Msigwa: Bei ya behewa jipya ni kati ya Tsh. Bilioni 6 hadi 7 lakini bei ya behewa lililokwishatumika ni Tsh. Bilioni 2

    Lambeni tu asali hata yetu lambeni si mko madarakani? wala msihangaike kujieleza.
Back
Top Bottom