Recent content by Marambo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mafundi mnajenga vyoo vya hivi?

    Hata mimi nikiwa mdogo kijijijini sikuwahi kukipenda hicho choo. Ndio, kinahitaji usafi sana, kikiwa cha public huwa napata taabu sana, labda kuwepo na tishue nilisafishe. Ni kizuri ukiwa nacho kwaajili yako lkn sio public
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya saluni ya kiume

    Ninafanya hivyo biashara. Vinyozi ni wasumbufu kama Bodaboda tu. Unatakiwa uwe mkali sana,nimewapa mkataba. Lkn bado wanasumbua. Barbershop nzuri wekeza kama 8-10M, ili ivutie watu wengi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dry Cleaner and Laundry

    Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye Comoro?

    Mkuu, Mayotte kuna fursa gani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye Comoro?

    Nashukuru sana. Nafikiria pia kwenda kutembea huko na kuangalia fursa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye Comoro?

    Kuanzia milion 5 na kuendelea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye Comoro?

    Nipo Tanzania, nataka kufanya biashara na Comoro
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye Comoro?

    Nataka kufanya biashara Comoro kwa mtaji.mdogo, nifanyeje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mifuko ya viroba, ukubwa wa debe 6 na kuendelea

    500/=naweza kukutafutia mkuu. Pia hii inatofautiana kwa ubora, useme ni ubora upi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza viti na vifaa vingine vya saloon ya kiume

    0622686575
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza viti na vifaa vingine vya saloon ya kiume

    Nipo Dar kaka, kama upo Dar nikutafute.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza viti na vifaa vingine vya saloon ya kiume

    Nataka kufanya biashara ya Saloon au Barber shop, natafuta anayeuza viti na vifaa vingine. Nipo tayari kwa biashara kwa haraka sana. Nipo Dar. Mawasiliano: 0622686575
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mmiliki wa Mabasi ya Muro ahukumiwa miaka 8 au faini, ni katika kosa la kuiba mafuta ya TPA na kutakatisha fedha. Alipa faini na kuachiwa

    Tajiri hili litalipa. kwanza halijaenda shule linaogopa jela sana hilo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

    yap, mimi JUmamos juzi, nilitokea airport hadi Kifuru shule ya msingi, safari ambayo haina foleni lakini nililipishwa shs 20,000/= kiasi cha pesa ambacho sijawahi kulipa tangu nimeanza kutumia usafiri wa uber. nafikiri niliibiwa hapo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Kinachoendelea katika taifa hili ni majanga......hebu tutulie tu kwanza tuone mwisho wake na lengo lao ni nini?
Back
Top Bottom