Habari wanabodi,
Vijana wengi tumekuwa na maisha mafupi sana sasa.Mwenyezi Mungu amekuwa akituchukua tukiwa bado vijana umri bado wa kuuanza kulitumikia taifa tofauti na hapo awali. Siku hizi wenye maisha marefu wamekuwa ni wazee sio vijana tena.
Je, starehe zimekuwa nyingi?
Je, dunia ya sasa...
Waziri Mkuu amegundua kuwa kuna upotevu wa sh. milion 489 katika ujenzi wa soko la Mwanjelwa Mbeya. Je wahusika wakuu ni;
#Meya wa jiji aliyepita
#Mkurugenzi aliyepita
#Mkuu wa Mkoa aliyepita. n.k
Welcome guys tujuzane hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.