Recent content by maradu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Ni kweli mtoto akizidi kukaa tumboni kuna kitu kinaitwa placenta calcification hii kondition humfanya mtoto akose nutrient na kupoteza uhai.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

    Mpeleke kwenye hospitali alipo pangiwa kujifungulia anakitu kinaitwa overdue tiba yake nikuanzisha uchungu (induction) au kama atakua na vigezo vingine atajifungua kwa opareshen caesarian section )
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada huu ni ugonjwa gani

    hii inaitwa atopic dermatitis. inatibika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yule Msanii Wa Bongo Anayesifika Kuwa Ndiyo Msanii Mfupi Kuliko Wote Amefunga Ndoa

    hahaaaaa acha fujo basi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    yawezekana kuna mahali unakosea mahusiano uliyo nayo hayakuwa na malengo? kuna umri ukifika lazima utofautishe boyfriend na mchumba, pili kuwa makini sana kusikiliza na jipe muda kujibu, angalia vigezo vyako unavyovitaka kwa mmeo pengine vimekua vigumu kulingana na maisha ya kijana bachelor...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

    unachokitafuta kipo mikononi mwako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    mmh maharage ya wapi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    kazi nzuri TRA huduma za jamii zinasubiri hizo fedha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    kwahiyo wakaibe kenya wakuletee. jiajiri ulipe kodi acha kusubiria sisi tukulipie
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    ukiamini katika kushinda utashinda tuu ...............vita ni vita muraaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kupanga nyumba ni nafuu kuliko kujenga yako?

  12. M

    JamiiForums Tanzania Kupanga nyumba ni nafuu kuliko kujenga yako?

    Kwa hiyo sisi tukisha kutengenezea unatulima notice?>>>> ukiwa na akili hii hufiki mbali
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

    ulitaka aletwe na bomberdia ama vepee
  14. M

    JamiiForums Tanzania Midahalo: Fahamu kwanini CCM inataka ya wagombea

    ninge furahi siku ya mdahalo wafanyie studio tukisema watu waruhusiwe kushiriki kwenye mdahalo dakika tano nyingi lazima kitanuka.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Midahalo: Fahamu kwanini CCM inataka ya wagombea

    hivi nilazima uende chuo kikuu iliujue mdahalo wa wagombea Uraisi unawahusu Wagombea wenyewe? mbona mnataka kubadili rangi ya kaniki kuwa nyeupe wakati asili yake nyeusi!!
Back
Top Bottom