Recent content by mapyululu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete escrow, hapatoshi Dodoma

    Wacha kabisa. Hawakujui kama wewe ni dude.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Mkuu. Mbona kama umepaniki vile?... Ripoti ya CAG inashida gani?. Si itoke tu huku ukweli ukiendelea kufichuliwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Mahakamani kuna kesi dhidi ya Kafulila na sio IPTL na ESCROW
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Mtu unawezaje kuiba Pesa yako mwenyewe?.... Au wamejiibia. IPTL mzigo ule ni halali yao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Na ndio ukweli ulivyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Hauingilii zaidi ya yote unasaidia kuweka mambo wazi na kutufanya watanzania tuujue ukweli ukoje. Bravo sana Star Tv
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Jamaa noma sana Hawa. Kumbe wanaidai Tanesco mpaka Leo?...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Hawa star TV mbona wamechelewa sana kutoa Habari sahihi kama hizi mpaka Leo?...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    Sasa kumbe kelele za bure tu....zingeweza kuwekwa hata SACCOS
  10. M

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    tumia lugha laini mkuu, utaeleweka pia
  11. M

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    usipanic mkuu mbona hilo suala halihitaji kuzungumza kwa kutumia nguvu nyingi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    haya mambo haya. kama ukiwa na uelewa mdogo na finyu kama kafulila lazima uingizwe chaka kwa kweli. ona sasa jamaa anavyojifedhehesha namna hii. karukia treni kwa mbele.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    michezo ya kikubwa ukoje ikoje mkuu?. au ni kafulila kubwabwaja uwongo mtakatifu humu mitandaoni?.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mwingine wa TPDC huu hapa

    hizi habari zenu za kimbea mbea bila kuweka source of informations mtalifanya jukwaa lisionekane kama chumba cha Great Thinkers. hebu badilikeni jamani. sio kila unapogombana na jamaa yako huko unakimbilia JF kupost ili kumkomesha, huo ni utumiaji mbaya wa BANDO ZETU kwenye simu tafadhali.
Back
Top Bottom