Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

Kuna wanaosema kwamba fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya ESCROW ni za serikali na wengine wanakataa na kusema kwamba fedha hizo kamwe si za serikali bali ni fedha za wanahisa wa IPTL ambao ni kampuni ya Mechmar ya Malaysia na VIP Engineering and
Marketing ya Tanzania. Hoja za kila upande zimetawala magazetini na malumbano kati na baina ya wanasheria,
wabunge na wanasiasa wengine ambao kwa namna moja au
nyingine wanarukia mambo bila kujaribu kutafuta undani
wake ili waelewe na waseme kilicho sahihi kuliko kuongea vitu vya uongo na vyakubuni tu.

Bonge moja la point mkuu
Kwanza mi naona ni bora wajitoe tu ao wanasiasa njaa
 
kabisa mkuu na hata ukifuatilia kwa makini utagundua upande huo wa kina Kafulila na timu yake wameshindwa kabisa kujenga hoja zenye mashiko kueleza ni jinsi gani fedha ya escrow account leo imekuwa ufisadi kukabidhiwa kwa IPTL/ PAP. Wakati wote tunafahamu kulikuwa na escrow agreement. Kwanini KULIKUWA ESCROW AGREEMENT KAMA IPTL HAWAHUSIKI NA HIZI FEDHA? Au kafulila anajitoa ufahamu kuwa hajui kuhusu escrow agreement?

haya mambo haya. kama ukiwa na uelewa mdogo na finyu kama kafulila lazima uingizwe chaka kwa kweli. ona sasa jamaa anavyojifedhehesha namna hii. karukia treni kwa mbele.
 
michezo ya kikubwa ukoje ikoje mkuu?. au ni kafulila kubwabwaja uwongo mtakatifu humu mitandaoni?.

Kafulila anafahamu fika
kuanzia tangu kusaniwa kwa makubaliano ya
ESCROW Julai 5, 2006, TANESCO walikuwa
wanaendelea kupatiwa umeme kila siku, kwa
kiasi kilekile wanachokihitaji wao mpaka leo
hii na anajua kwamba, TANESCO walikuwa
hawailipi IPTL na badala yake fedha walikuwa
wanaziweka katika akaunti ya ESCROW, Je
Kafulila alitaka tuwape umeme bure TANESCO.
Je yeye anapofanya kazi bungeni halipwi?,
Anapokaa katika vikao vyake hapewi posho au
wanaomtuma kueneza uongo hawamlipi?.
Kafulila aache kutumika vibaya.
 
[h=2]Re: Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya[/h]
Nashindwa kuelewa hofu ya Kafulila inatoka wapi??? Nahapa ndio palipo ibuka ile thread

"" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/725255-sakata-la-iptl-na-escrow-cag-anatumika-vibaya.html""

Kwanini Kafulila ang'ang'anie huyu mzee wa watu aendelee na kazi wakati muda wake wa kupumzika umefika?? Walikuwa na mpango gani mpaka Kafulila amtangazie kwa umma kwamba mzee Utouh anastaafu??
Nakwanini tunapoteza imani kwa mtu ambae anakuja kuchukua nafasi ya CAG hata kabla hatujaona utendaji wake??
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali kashasema alipozungumza na Gazeti la Rai Tar 2-8,2014 kuwa ripoti itaingia mikononi mwake wiki hiyo ya tarehe tajwa ;Attachment 191045

Hizi ni dalili mbaya kuwa Kafulila anataka kuyakataa matokeo ya uchunguzi kama yatakuwa hayajarinda interest zake!
Hata jana tumemkoti alivyoeleza wasiwasi wake kuwa ripoti inaweza isijadiriwe bungeni, mbona yeye tu anaye tapatapa??

""""Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amedai kuwapo kwa mkakati wa kuzuia ripoti ya uchunguzi wa fedha za Escrow zaidi ya Sh. bilioni 400, isijadiliwe katika mkutano ujao wa Bunge mjini Dodoma.

Kafulila ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa NCCR-Mageuzi, alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam kuhusu mkakati wa kuulinda ufisadi wa kiasi hicho kikubwa cha fedha ambao alidai unafanywa na kampuni za ufuaji umeme na baadhi ya vigogo wa serikali.

Kwa mujibu wa Kafulila, kumekuwapo na kampeni ya kupotosha ukweli kuhusu madai ya ufisadi huo wa fedha ambao anadai unaratibiwa na baadhi ya watu waliojitoa kufahamu kutetea wizi.

"Napenda kusisitiza kwamba, fedha za Escrow Dola milioni 270 (zaidi ya Shilingi bilioni 400), zimetolewa kifisadi na ndiyo sababu kwa muda sasa kumekuwapo mkakati wa kuzuia ripotri za uchunguzi zisijadiliwe bunge lijalo," alisema Kafulila na kuongeza:

"Wito wangu kwa serikali ni kuwa endapo ripoti hii haitaletwa,Bunge lijalo halitakalika. Nitapeleka hoja ya kutokuwa na imani na serikali."

Alisema kutokana na hali hiyo, hadi sasa nchi wahisani hazijachangia bajeti kwani zinasubiri utekelezaji wa ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kwa mujibu wa Kafulila, anao ushahidi wa nyaraka takribani 600 zinazothibirisha fedha hizo kutolewa kifisadi huku akihoji sababu za Takukuru na CAG kutotoa taarifa za uchunguzi kuhusu madai hayo.

Alisema, ripoti hiyo isipojadiliwa kwenye Bunge hilo, ataomba mahakama itoe amri kwamba mbunge asiwe mjumbe wa bodi ya mashirika ya umma na kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na Rais.

Akizungumza kwa njia ya simu na NIPASHE, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah, alisema, hakuna mtu anayeweza kukwamisha kazi yao na kuwa muda wowote ripoti ikiwa tayari wanaiwasilisha.

CHANZO: NIPASHE""""

KAFULILA HUISHIWI MANENO WEWE???? MARA RIPOTI INACHEREWA, MARA INACHAKACHULIWA , MARA HAIJADIRIWI, TUKUELEE NINI MBONA KILA SIKU MALALAMIKO WEWE???????

kAFULILA ATUAMBIE NI SHIRINGI NGAPI SASA MAANA ANATUCHANGANYA SISI MARA BIL 200, MARA BIL 400 KIPI NI KIPI???WABUNGE WENZAKO HATA KAMBI YA UPINZANI IMESHAPIMA NA KUGUNDUA KUWA UNAPIGANIA TUMBO LAKO NASIYO MASLAHI YA TAIFA HILI NDIO MAANA WAMEKUACHA UPAMBANE MWENYEWE.

  • kAFULILA ATUAMBIE NI SHIRINGI NGAPI SASA MAANA ANATUCHANGANYA SISI MARA BIL 200, MARA BIL 400 KIPI NI KIPI???WABUNGE WENZAKO HATA KAMBI YA UPINZANI IMESHAPIMA NA KUGUNDUA KUWA UNAPIGANIA TUMBO LAKO NASIYO MASLAHI YA TAIFA HILI NDIO MAANA WAMEKUACHA UPAMBANE MWENYEWE.

paperclip.png
Attached Thumbnails

pitapiti likes this.
 
‘’Tunafurahi kuwa tunazidi kuaminiwa na serikali mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Hii inadhirisha ufanisi na ueledi wetu katika tasnia nzima ya nishati,’’
 
Pia amezishauri kampuni nyingine za kuzalisha umeme kuelekeza utaalamu katika kuwatumikia wananchi badala ya kupigana vijembe ambavyo huzaa chuki na kudhoofisha kasi ya maendeleo ya wananchi.
 
Re: Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

hafahaamu ila anahisi tu kiasi anachosema
 
''Tunafurahi kuwa tunazidi kuaminiwa na serikali mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Hii inadhirisha ufanisi na ueledi wetu katika tasnia nzima ya nishati,''

Yaani Manka umejiunga juzi tu ili uje utetee huu uoza mtupu wa kutuibia umeme?
umeme kila siku unapanda na mito na maji Tanzania inaongoza kuwa nayo
leo kajitokeza Kafulila kutufungua macho na masikio MNAKASIRIKA

Basi Marekani ametoa madola jana kwa makampuni ma4 yatakayozalisha umeme jua kwa vijiji na ninaomba hata mijini waje na wafurike km Makampuni ya simu za mikononi
waulize wenzako wezi wa iliyokuwa TTCL unaomba line kumpigia mtu wa mtaa wa pili Operator anarunga mpaka umkumbushe mara 10

mwisho wenu unakuja hamtatuibia
KAFULILA Mbunge wa Kigoma mwacheni atutetee msimzibe mdomo

Ulipendaje mkuu??..
 
Unaibiwaje umeme???
Ndio sera hyo tunakoenda gesi inatake over na renewable resources ndio zinapewa kipaumbele.
operators mkuu kwenye mfumo huu wa digital hawapo, labda customer care.
Hatukatai aendele kututetea, lakini kwenye hili la IPTL kala hela za mafisadi.
 
[h=1]Donors confirm withholding aid to Tanzania[/h]
donors.jpg
Finnish ambassador to Tanzania and development partners chairperson Sinikka Antila. PHOTO | FILE
In Summary

  • The Development partners chairperson and Finnish Ambassador to Tanzania, Ms Sinikka Antila, confirmed that the money, which was meant to support the country's 2014/15 general budget, had been suspended, pending the release of the IPTL probe reports.

It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget.
They will only give it out upon seeing-and being satisfied with-the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

The DPs chairperson and Finnish Ambassador to Tanzania, Ms Sinikka Antila, Tuesday confirmed to The Citizen that the money, which was meant to support the country's 2014/15 general budget, had been suspended, pending the release of the IPTL probe reports.

Ms Antila said the donor community was concerned over how the escrow monies were paid to the company that claims to have bought 70 per cent shares of IPTL, which were held by a Malaysian firm, Mechmar Berhad Corporation.
The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

"Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds," she said.
"We meet with the government regularly to discuss budget support issues," said Ms Antila.

Key findings
According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.

She said the DPs' contribution to the budget finances stood at approximately five per cent of the national public expenditure programme.

"Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

On Sunday, Kigoma South MP David Kafulila (NCCR-Mageuzi), told reporters that donors, especially those in EU countries, were withholding funds meant to support the 2014/15 budget pending the release of the two probe reports on the $250 million in escrow monies, part of which was paid directly to Pan Africa Power Solutions Tanzania Ltd (PAP) after the company claimed it has bought 70 per cent shares in IPTL.

"If the government fails to take serious measures against the culprits, it is obvious donors will not release funds," he said,
Earlier this year, Mr Kafulila took the matter to Parliament following an exposure of the multibillion scandal by The Citizen newspaper.

The MP further threatened that if the government failed to release the two reports, he would move a motion of no-confidence against either Prime Minister Mizengo Pinda- who also defended the deal before the House-or the President.

Source:
Donors confirm withholding aid to Tanzania - News - www.theeastafrican.co.ke
 
Unaibiwaje umeme???
Ndio sera hyo tunakoenda gesi inatake over na renewable resources ndio zinapewa kipaumbele.
operators mkuu kwenye mfumo huu wa digital hawapo, labda customer care.
Hatukatai aendele kututetea, lakini kwenye hili la IPTL kala hela za mafisadi.

Kwa hili niko mbali sana
yaani Kafulila kabwiya Dola 200
au kahongwa na IPTL

Ninachosema kuna siku nitaanza kutumia Umemejua hapa mtaani na kuwasambazia wenzangu
km Cable za TV
km simu za Mkononi
km maji ya visima

huu wizi wa miradi ya kutuibia kupitia UMEME sasa basi
mpaka umeme wa manyunyu?Du wizi mtupu
 
[/SIZE][/COLOR]

Mkuu bola upite tu
 
[h=1]Donors confirm withholding aid to Tanzania[/h]
donors.jpg
Finnish ambassador to Tanzania and development partners chairperson Sinikka Antila. PHOTO | FILE
In Summary

  • The Development partners chairperson and Finnish Ambassador to Tanzania, Ms Sinikka Antila, confirmed that the money, which was meant to support the country’s 2014/15 general budget, had been suspended, pending the release of the IPTL probe reports.

It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania’s 2014/15 Budget.
They will only give it out upon seeing—and being satisfied with—the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

The DPs chairperson and Finnish Ambassador to Tanzania, Ms Sinikka Antila, Tuesday confirmed to The Citizen that the money, which was meant to support the country’s 2014/15 general budget, had been suspended, pending the release of the IPTL probe reports.

Ms Antila said the donor community was concerned over how the escrow monies were paid to the company that claims to have bought 70 per cent shares of IPTL, which were held by a Malaysian firm, Mechmar Berhad Corporation.
The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

“Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds,” she said.
“We meet with the government regularly to discuss budget support issues,” said Ms Antila.

Key findings
According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.

She said the DPs’ contribution to the budget finances stood at approximately five per cent of the national public expenditure programme.

“Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements,” said the envoy.

On Sunday, Kigoma South MP David Kafulila (NCCR-Mageuzi), told reporters that donors, especially those in EU countries, were withholding funds meant to support the 2014/15 budget pending the release of the two probe reports on the $250 million in escrow monies, part of which was paid directly to Pan Africa Power Solutions Tanzania Ltd (PAP) after the company claimed it has bought 70 per cent shares in IPTL.

“If the government fails to take serious measures against the culprits, it is obvious donors will not release funds,” he said,
Earlier this year, Mr Kafulila took the matter to Parliament following an exposure of the multibillion scandal by The Citizen newspaper.

The MP further threatened that if the government failed to release the two reports, he would move a motion of no-confidence against either Prime Minister Mizengo Pinda— who also defended the deal before the House—or the President.

Source:
Donors confirm withholding aid to Tanzania - News - www.theeastafrican.co.ke

Achakuongopea umma wewe
Unakuja na evidence za raia mwema
 
[/SIZE][/COLOR]
Kwa hili niko mbali sana
yaani Kafulila kabwiya Dola 200
au kahongwa na IPTL

Ninachosema kuna siku nitaanza kutumia Umemejua hapa mtaani na kuwasambazia wenzangu
km Cable za TV
km simu za Mkononi
km maji ya visima

huu wizi wa miradi ya kutuibia kupitia UMEME sasa basi
mpaka umeme wa manyunyu?Du wizi mtupu

mzee kweli we upo mbali!! Wazo zuri mzee fanya utekelezaji.
 
Back
Top Bottom