Matumizi mabaya ya teknolojia hayawezi kuwa hoja ya kupinga matumizi ya teknolojia. Hizo Picha chafu na uchafu wote uliotaja si programs zinazotengenezwa na Simu bali mtu anaweka mwenyewe kutokana na dhambi iliyo moyoni mwake. Utakatifu wa neno la Mungu hauko ktk material lilipoandikwa bali neno...
Ila kwakweli hata matapeli wengi wa mitandao wako sana vodacom, wale wa mara pesa imetumwa kwako kimakosa, tuma ile pesa kwenye namba hii na meseji za ndagu hutaviona kwingine ispokuwa vodacom
Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kusema hayo uliyosema, inaonekana hats maana ya ndoa name familia hujuiOTE="bhikola, post: 32122334, member: 76516"]
Yaani mashudu matupu umeandika,
Ni sawa na mwanamke anayeamua kuwa malaya kwa kisingizio cha maisha magumu, Je, angekuwa mwanaume angekuwa...
Mhubiri 9:5 Wafu hawajui lolote
Zaburi 115:17 Wafu hawawezi kumsifu Bwana
Kumb. 18: 11 Msiombe wafu
2Wakor. 11: 13-15 Shetani na malaika wake (Majini/mapepo) hujigeuza wawe mfano wa waliokufa ili kupotosha neno la Mungu . Kwa kifupi huyo uliyeota sio Grace bali unaongea na pepo kwenye ndoto...
Huyu kachangañikiwa si bure! nani kamwambia shule ya msingi kuna upungufu wa walimu wa sayansi? Kule mwalimu yoyote anafundisha somo lolote. Aende sekondari huko ndo kunahitaji walimu wa sayansi. Yaani Magu amefundisha wasaidizi wake kupenda kiki za kitoto kabisa! Eti std vii sayansi? Ujinga mtupu
Kumekuwa na tabia ya wakusanya sadaka kudokoa pesa kutoka kwenye masanduku wakati wa kukusanya ndio maana yanafungwa ili yafunguliwe mbele ya watu zaidi ya mmoja wakati wa kuhesabu
Kwa sasa vijana wengi wameanza kuona elimu yetu isivyo na maana, hata ukisoma ajira hakuna, kwa nini mtu akunyanyase kupata elimu ambayo haikusaidii chochote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.