Recent content by mapupu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume "very serious"

    Hapa lazima mtu adabwe, naona chain of events.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Mkuu inauma sana, sisi tuko km saba hv tulipandishwa mara ya kwanza hatukulipwa tukapandishwa tena hatukulipwa, tukaambia madai ya mshahara tusijaze yatalipwa automatic( hayo madeni ya kwanza tulijaza form mara mbili mbili). Lakini wote majina yetu hayamo. Yaani hatujui tufanyaje.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Duh dadaki simo wakati nadai toka 2010
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa uvuvi kaza kamba, watu walifanya kufuru sana

    Sadist at his lowest point
  5. M

    JamiiForums Tanzania Beki Juma Nyosso ameachiwa kwa dhamana na klabu ya kagera imesema haitomuadhibu beki huyo

    Umesaha juzi tu hapa Patrice Evra kampiga shabiki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

    Djama Mbaa Yanga
  7. M

    JamiiForums Tanzania A petition to prof. Issa Shivji asking him to decline Prof.Mamdani's invitation to give a talk at MISR

    Prof. Mahmaod Mamdani has everlasting contribution in the world academia. He is a leftist not liberal. The petition seems to have come from liberals. Is this the conflict of ideology on how the bussiness should be conducted at Makerere?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumrudisha Mtulia Kinondoni

    Alichokosea Mtulia ni kusema amejiuzuru kumuunga mkono Rais(Serikali) badala kusema amejiuzuru kukiunga mkono CCM kwa kuisimamia vyema serikali. Hii ingeleta maana zaidi kwa kuwa inaendana na majukumu yake ya kibunge, hilo alilosema yeye linapingana na majukumu yake ya kibunge.
  9. M

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Wananchi wenye hasira wamchoma moto kibaka aliyekwapua simu

    Ni ujinga tu, umtoe mtu uhai kwa sababu ya simu!!? Uhai wa binadamu una thaman kubwa isiyomithilishwa kulinganisha na simu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka Chelsea ya 2004/05

    Hii ndio Chelsea bora kuwahi kutokea mpaka sssa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Will he or won’t he? That’s the question!

    Kwikwikwikwi anawaachia lichadema lao , hapa ndio naona CCM chama la watanzania wote likiendelea kupendwa na watanzania na kushika hatamu miaka mingi baadae.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Star-times na local channel

    TCRA wamejidharilisha kwa hili
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

    Kwa bahati mbaya, wengi wanaoshiriki mjadala huu ni mbilikimo wa siasa za kimataifa, na hawajui lolote kuhusu mgogoro wa mashariki ya kati.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Mtu anayewaza Eti Mufti anaweza kuondolewa huyo atakua anaota na haijui bakwata.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela

    Ni Tanzania pekee A convicted paedophile anatukuzwa na kufanywa mtaji wa kisiasa.
Back
Top Bottom