Recent content by mapungo

  1. mapungo

    Siamini Kama R. Mengi ana zaidi ya 500 Million USD!

    Ipp Group Of Companies Background Business Essay Published: 23, March 2015 IPP is a private own group of companies which was established by Mr. Reginald Mengi, since 1980s after serving as Chairman and Managing Partner of Coopers & Lybrand in Tanzania. The IPP group was stated as a small scale...
  2. mapungo

    Bei ya mashine ya popcorn (bisi)

    laki380000 mpaka 4 niliagiza toka dar kariakoo nikapata ¡¡¡
  3. mapungo

    Wabunge waungana wasusia miswada mitatu bungeni

    Wabunge waungana wasusia miswada bungeni!! BILA kujali itikadi za vyama vyao vya siasa wabunge wameitaka Serikali kuondoa bungeni miswada mitatu ya Sheria ya Petroli, Muswada wa Usimamiz Mapato ya Mafuta na Gesi wa mwaka 2015 na Muswada wa Sheria ya Uwazi na Uwajibikaji katika taasisi za...
  4. mapungo

    Aliyoyasema Tundu Lissu yatimia!

    ILE kauli kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga katiba ya nchi kwa kuteua makada wake kutumikia serikali kinyume na Katiba ya nchi imetimia. Anaandika Benedict Kibache … (endelea). Katika Bunge la 10, Mkutano wa 19 kikao cha nane kilichofanyika Machi mwaka huu, Mnadhimu Mkuu wa...
  5. mapungo

    Serikali ya Tanzania ina mpango wa kukopa Fedha za kigeni takribani Dola 800

    Hapo mwanzo Mungu aliumba ulaya na marekani,akaweka maghrofa mazuri,snow inayoanguka kila mwaka,miundo mbinu mikali and then akaumba Afrika akaweka maliasili kibao kama madini,wanyama,gesi na mito na maziwa yaliyojaa samaki kibao,wazungu wakamlalamikia Mungu wakisema eeh Mungu mbona...
  6. mapungo

    Serikali ya Tanzania ina mpango wa kukopa Fedha za kigeni takribani Dola 800

    hii ni zima moto .nikuipa nguvu shillingi kwa mda huu.ambapo mambo ya nchi yapo hot katika mijadala!!
  7. mapungo

    Serikali ya Tanzania ina mpango wa kukopa Fedha za kigeni takribani Dola 800

    Serikali ya Tanzania ina mpango wa kukopa fedha za kigeni takribani dola milioni 800 kutoka Benki Kuu ya Afrika Kusini na Benki ya Maendeleo ya Uchina kwa lengo la kutunisha mfuko wake wa fedha za kigeni katika kipindi hiki ambacho taifa hilo likikabiliwa na changamoto ya kuporomoka kwa sarafu...
  8. mapungo

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mkuu mimi natafuta incubators za kisasa vipi umepata wapi ya kwako? unaweza nielekeza ama kunipa adress zao!
  9. mapungo

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mkuu nakushukuru! nawe pia!SORRY NILIPOST WEBSITE HIYO KIMAKOSA:PITIA HII HAPA Home kuna vitabu vya maelekezo pdf format!!
  10. mapungo

    M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

    inawezekana kabisaa usibishe!! maana mh huwezi amini!!!
  11. mapungo

    M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

    tumsaidie ni kwamba hakuna mipango yakuwawezesha wazawa kumiliki hata viwanda vya kuchakata gesi kila kitu wanafanya wa njee WAZUNGU ,Hamaanishi mabomba yanatembea kwenda Ulaya! watu wanamna hii ni shida !!!!
Back
Top Bottom