Hebu tuliangalie tena wadau,analosema lina maslahi ya Taifa?Kama No maslahi achangie yenye tija kwa Taifa na kama hana anyuti tu.Posho c atapata tuuuuu,alaaa..
Nataman niwepo qenye kikao cha kusuluhisha mgogoro huu mapema iwezekanvyo maana usishangae NGANO anayozalisha Bhakhresa tukanumua Mara 2/3 ya bei ya sasa.Hii vta kwetu haina tija
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.