Recent content by Mapondo Mapoka

  1. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Vp handeni vijijini?
  2. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana miaka 32 anaswa na bibi kizee miaka 80,kijana atembezewa kichapo na wajukuu

    Kijana anastahili pongezi kwa ujasiri mkubwa wakutafuta uzoefu.
  3. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Mjue boomslang, Nyoka hatari sana wa kijani

    Huyu nyoka ni mwamba kweli, ndio maana sio rahisi kuonekana hovyo. Kuna aina mbili za koboko,black mamba na greeni mamba. Yawezekana ambaye tunamuona ukanda wetu ni either green au black mamba. Ila marafiki nyingi huku huyu nyoka ukimuona na ukamchokoza hua ni mkorofi sana. Ukiwahishwa kituo cha...
  4. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Mjue boomslang, Nyoka hatari sana wa kijani

    Sio kweli. Moja ya nyoka mpole na mstaarabu ni black mamba(koboko). Mara ya mwisho kumuona live ni Oktoba 2024 njiani. Mara baada ya kumuona nilisimama umbali wa mita 7 au 8 hivi. Kuonesha sio mshari,alikaa kwa takribani dakika 5 akiwa ametulia palepale. Kisha baadae alianza kuondoka taratibu...
  5. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya bati kulingana na ramani hii

    Nilifeli kujenga kwa ramani hii,ila niliishia kujenga nyumba ya vyumba viwili kwa ramani inayokaribia kufanana na hiyo ambapo yenyewe niliondoa dining pamoja na single room moja ikabaki master, single moja na jiko ila public toilet ili kakaa nje. Bati zilikua 72 ,ila mbao sikumbuki vizuri kwan...
  6. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Nyeto sio tatizo. Nimepiga sana mpaka leo napiga na nimeoa ila sijaona badiliko lolote
  7. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Tumbaku mkuu, ardhi ni nzuri sana,kuni zipo zakutosha.
  8. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Tumbaku Ina Pesa

    Hekari moja hutumia mifuko 5 ya mbolea. NPK 10:18:24 mifuko 4 na CAN 27 mfuko 1. Heka moja huzalisha kilo wastani wa 560kg hadi 1000 kg kutegemea na matunzo yako shambani ikiwa ni pamoja na kupanda mbegu bora,uwekaji mbolea kwa kuzingatia vipimo sahihi vilivyopendekezwa,palizi kwa...
  9. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Tumbaku Ina Pesa

    Tumbaku hailimwi kiholela hivi.
  10. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Tumbaku Ina Pesa

    Zoezi la kwanza ni kuweka makisio ya kiasi cha hekari za tumbaku ktk cham cha msingi unachotarajia kulimia ili uwekwe kwenye orodha ya mgao WA pembejeo. Baada ya hapo ni kujenga nyumba za kuchomea tumbaku yaani mabani. Mabani hujengwa kwa tofali mbichi au zakuchomwa. Hatua inayofuata ni...
  11. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Tumbaku Ina Pesa

    Uzoefu wakutosha tu
  12. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Tumbaku Ina Pesa

    Hakuna zao hapa Tanzania utalima ukapata pesa nyingi tofauti na tumbaku
  13. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nipe sababu mkuu za kuachana na Porte. Mm nahitaji kwaajili ya kutembelea tu
Back
Top Bottom