Recent content by mapatomgasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote itakayonisaidia kukusanya pesa ya kurudi masomoni

    Ebu nipigie 0688702891
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Sidhan kma utaweza kuiendesha long term na kwa ukubwa kwa hiyo strategy
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa dharula

    Niko mwanza utaweza 20%
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Kila kundi na changamoto zake ,lkn napendelea zaidi makundi mawili watumishi wa sekta binafsi na wajasiriamali wadogo wadogo. Sababu kubwa ni kuwa haya makundi yanakwepwa na mabenki pamoja na watoa huduma wengi. Hivyo hawana mrundikano mkubwa wa madeni ukilinganisha na wengine wanaokopesheka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mtaji ni 20m kwa micro credit sio 50m lkn kma unayo pia ni heri Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Usijali kuhusu taratibu wanaosajili wapo na utasajili ndani ya mda mfupi tu. Waza kuhusu policy na capital, ukitatua hizo shida mbili umefanikiwa. Sera ya ukopeshaji ndipo ulipo mtihani mzito sana kwa tunaofanya hii biashara. Unalenga kumkopesha nani na kwa utaratibu gani ,ukiweza kutatua hilo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    30000/= ni nyingi ikiwa hujaipata lkn sio nyingi kma inavyoonekana. Kwa mwezi 900000/= sio pesa nyingi ukiweka operational cost za kuendesha kampuni. Ukiwa kuwa na target market nzuri na ukaweza kuwa na strategy ya kudai nzuri isio leta migogoro mingi chance yako ya kupata profit nzuri ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Sikupata fursa ya kumjibu kila mtu mmoja mmoja maana inbox imekuwa na maswali mengi .kwa faida ya wote nakaribisha maswali Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Biashara ya micro credit ,iko vizuri na inaweza kukulipa vizuri lkn uwe na not less than 10m. Kama kujitolea niko tayari kumpa mtu moja experience na payout yake. Nimeifanya biashara nyingi lkn hii ni the best kwangu hakuna biashara nzuri kma hii Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Kwenye idadi ya vifaranga vinavyototlewa tatizo ni utaalam,iko hivi kuku atagapo unatakiwa ufanye date labeling kwenye kila yai. Yai halitakiwa kukaa zaidi ya wiki mbili halijalaliwa na mtetea. Ukishachambua mayai yaliyo chini ya wiki mbili angalia body structure ya mtetea,mitetea yenye miili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Soko halikuwa tatizo ,Serengeti national park kuanzia ndabaka mpk hoteli zote za humo wanahitaji sana sana supplier wa uhakika. Nikiwa na kuku 5000 walinifata na kunipa order 20000/= kwa kila kuku wa kilo 1.5 . Kwa sasa wanatoa kuku arusha,Kilimanjaro na tarakea upande wa Kenya. Kusafirisha kuku...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Project nimeifanya for not less than 3 years, tatizo sio bei ya kuku tatizo ni gharama ya chakula cha kuku. Ni ngumu sana kutoboa kupitia local breed Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom