Mkopo wa dharula

Mkopo wa dharula

Mungu akusaudie hitaji lako. Lakini Naona km vile unataka uuze pikipiki kijanja
Hapana sijafikia huko na ndo maana niliomba kwa riba yoyote ila kama ikitokea inatakiwa dhamana nitaeka tu pikipiki
 
Kama una dhamana ya maana kama vile shamba ,..njoo inbox
 
Back
Top Bottom