Recent content by MAPARA ZNZ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Akili zimewarudi sasa 😁
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Tulieni nyinyi mwaka mmoja kelele kibao SI tushavumilia nusu karne mauzauza ya muungano huu lkn ilikua tukisema mnatia pamba maskioni tulieni kidogo nanyi mle matunda ya muungano wa mfano duniani😁😁
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majaliwa hana mamlaka Zanzibar

    Watu 3678 kama sijakosea:(:(
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

    Na huyu baba ubaya katengeneza sio ufike mda tuwe na aibu ccm oyee🤣🤣🤣
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya wapinzani kujitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Serikali yamwagiza Jafo kukutana na Wapinzani na kurudisha majina yote

    hii ndio ile methali ya zimwi likujualo halikuli likakwisha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani ulioasisiwa na mwalimu Nyerere umefeli, Je turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Watu wanasema hali ndio hii siku mkirudi chama kimoja ni bora tu nkaombe uraia syria najua kazi yangu ni 1 war
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    teh teh teh kicheko si furaha 😉😉ccm oyeeeeeeee naomba uhai nione mwisho wa season hii ya kata kata na kushinda bila kupingwa poleni ndugu zetu wa dam huku kwetu zenj tushayazoea zaidi ya hayo
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 The end justifies the means. CHADEMA itumie mbinu za kijasusi kuuondoa mfumo CCM madarakani

    kama sikuhofia ban humu jamvini ningechangia kitu lakini 😒😒
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yashinda rufaa, Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi

    tumekwisha😒😉
  10. M

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa; Tume Yako ya Ajali ya Morogoro Iko Wapi? Au Ilikuwa Funika Kombe?

    we endelea kusubiri tu mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya ndege yetu kushikiliwa Afrika Kusini

    kwani alikopa mtu au serikali ?teh teh teh hata ivo wamekusikia mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Askofu Gwajima siyo Mtuhumiwa bali ni muathirika wa lile tukio

    😕😕😕🚶🚶🚶
  13. M

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania ni bomu linaloandaliwa kuimaliza awamu ya 5

    Hisabu hii ni ya bagazijuto au vipi hata hivo sio mbaya bilion 3 kwa kuingiza 6 ?ni vizuri kuota
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kitatokea endapo Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi?

    Ni kufaaa njaaa tu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwa mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama

    Soma vizuri lisu amefafanua nini some time sio lazima kuandika comment unaweza kua kimya tu
Back
Top Bottom