PM Majaliwa; Tume Yako ya Ajali ya Morogoro Iko Wapi? Au Ilikuwa Funika Kombe?

Katika mazishi ya kitaifa ya ndugu zetu walio fariki kwa ajali ya moto pale Morogoro ulitueleza tena kwa sauti ya msisitizo kuwa unaunda Tume ili itoe ripoti kama kuna uzembe wa vyombo vya usalama (ambao upo) na nani anastahili kuwajibishwa.
Leo idadi ya vifo imefikia 101 na siku tatu za kutoa taarifa tume yako zimezaa na kuwa wiki kadhaa.
Mtaani kuna fununu kuwa umeagizwa kutoka "juu" uachane na hayo mambo jee ni kweli ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite? Na huko juu wanakozuia uachane na hayo jee wanahusikaje na vifo hivyo?
Tunaamini wewe una tofauti na wao, tuambie tume yako ina majibu gani na hatua gani zimechukuliwa kwa wazembe walio shindwa kuzuia
Nijuavyo mimi, alichokosea Majaliwa ni kusema anaunda Tume yeye kama yeye....alitakiwa kusema ametumwa na nanihii kuunda tume na ripoti itapelekwa kwa nanihii kwa maamuzi....
 
Katika mazishi ya kitaifa ya ndugu zetu walio fariki kwa ajali ya moto pale Morogoro ulitueleza tena kwa sauti ya msisitizo kuwa unaunda Tume ili itoe ripoti kama kuna uzembe wa vyombo vya usalama (ambao upo) na nani anastahili kuwajibishwa.
Leo idadi ya vifo imefikia 101 na siku tatu za kutoa taarifa tume yako zimezaa na kuwa wiki kadhaa.
Mtaani kuna fununu kuwa umeagizwa kutoka "juu" uachane na hayo mambo jee ni kweli ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite? Na huko juu wanakozuia uachane na hayo jee wanahusikaje na vifo hivyo?
Tunaamini wewe una tofauti na wao, tuambie tume yako ina majibu gani na hatua gani zimechukuliwa kwa wazembe walio shindwa kuzuia
. Amri ilitolewa, 'stop' japo sauti kwa wakimbiaji ya 'on your marks, get ready' ilishasemwa. Au hukusikia si wakati wa kutuhumiana?
 
Rpc kapiga juju,,ubongo wa serikali umesahau kuunda tume,,,natania tu wajameni
 
asante mleta mada, nimehojo hilo but kimya

Wabongo huwa wana haraka kwenye jambo lisilo hitaji unataka at the same time jambo linalo hitaji haraka wanachelewesha.
 
Iliundwa dada,kuna watu toka usalama na ofisi ya pm

Ccm hawana ubavu wa kuunda tume dhidi ya polisi kwani ndio pumzi yao. Hawana uwezo wowote wa kuwawabijisha polisi kwani vyombo vya dola ndio hasa ccm.
 
Mkuu ujaona zile pesa walizo pewa wale majeruhi unajua maana yake na hata hiyo ripoti haina umuhimu wowote lile tukio wananchi wenyewe ndio walirolifwata kuwapoza raia au ndugu zao nikuwapa maneno matamu na kuwapa pesa ya rambirambi ndio zile zilizotoka unaambiwa moto wa mafuta kupona ni asilimia ndogo sana kwanza moshi wake ukiuvuta kwa wingi hatari na ukiungua hata wakikuzima bado unaungua ndani kwa ndani. Point tumpongeze mh raisi kuwa na hofu ya mungu kuwana roho ya huruma na wale majeruhi
 
Back
Top Bottom