Raisi Magufuli alitamka kwenye kampeni na hata siku alipohutubia bunge kufutwa kwa mageti yote ya mazao. Ajabu katika wilaya za Iramba na Mkalama agizo hilo limedharaulika na mageti bado yanaendelea kuwatesa wananchi. Hivi na hili nalo mpaka magufuli asimamie? Naamini wakurugenzi wanaweza...
Hakika hali ndani ya ccm inaendelea kuwa mbaya sana kutokana na wanachama kuwa na nguvu kuliko chama. Yapo mengi ya kujiuliza hivi mwanachama anapata wapi kiburi cha kufanya atakavyo eti kwa sababu alikuwa waziri,naibu waziri mbunge au mwenye pesa. Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato huu na...
Si lalamiki ila naeleza ukweli kilichotokea na asiwaaminishe watu kuwa ameshinda na wanairamba wanamtaka ukweli ndio huo na hawamtaki hata kidogo ndo sababu anatumia mbinu ovu
mod naomba msiondoe huo uzi niliouweka kuhusu kuumbuka kwa mwigulu ni habari za uhakika kura za maoni zilizopigwa na zimempigia mwigulu zilikamatwa na utaratibu unaendelea ndani ya chama na ikiahondikana kisheri. Mwigulu hajashinda kihalali niongeze mfano mwingine maluga kura za mwigulu ni mia...
Ndugu wanajamvi kura za maoni katika jimbo la Iramba Magharibi zimeingia kwenye historia chafu baada ya mwigulu kuandaa kura nyingi ambazo tayari zimepigwa na kuzigawa kwa jimbo zima. Kura zilizokamatwa ni za vijiji vya Tintigulu wembere shelui na urughu. Wagombea wenzake ndiyo waliozikamata...
Huu ni uzushi kabisa na ni kazi ya mwigulu kwakuwa yy alidakwa anataka kumchafua mwenzake akijua kabisa hana chake.leo walikuwa kisiriri na kidaru na pia huyu jamaa ni waajabu sana alipita akiwaaminisha watu kuwa wenzake wamemkimbia leo hii anarudi mle mle sijui anawaambia nn watu wale wale...
Wanajamvi, kale kamchezo ka Mwigulu kujiona yupo juu ya sheria na kutoa rushwa kila kona ya Iramba imemtokea puani baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Takukuru kwa muda wa zaidi ya masaa matatu.
Wagombea wenzake walijitoa katika kinyang'anyiro tangu tarehe 25 kwa madai ya kufanyiwa rafu hizo na...
siyo kweli huyu jamaa hafai hata kidogo kilichotokea ni mwigulu kuacha gari waliyokuwa wakiitumia wagombea wote na kwenda kugawa pesa kwa kundi la watu waliokuwa wameandaliwa na ndipo hapo hawa jamaa waliporipoti tukio na hakuna jibu walilopewa ndipo wakaamua kuushirikisha uongozi wa wilaya napo...
Hapa kinachoonekana ni msigano wa wazi kati ya viongozi wa wizara ya elimu na viongozi wa baraza la ufundi Nacte. Leo hii vyuo vimefungwa ghafla kuwa hakuna chakula je bado matumaini ya BTP yapo? Mbaya zaidi viongozi wenye dhamana wapo kimya hawasemi chochote si wizara wala nacte. Wakuu wa vyuo...
Wanajamvi kwa kile nilichoandika wiki mbili zilizopita kuhusu kufutwa kwa mafunzo kwa vitendo yaani (BTP). Jingine ambalo limeibuka ni kufungwa kwa vyuo vya ualimu ghafla kwa kisingizio hakuna chakula.
Lakini tukirejea ratiba ya mitihani ya kumaliza mafunzo yao ni tarehe 5 ya mwezi ujao. Vyuo...
Kwa kile kinachoonekana mwendelezo wa ubabaishaji katika sekta nyeti ya elimu walimu wanachuo wa cheti na stashahada ya elimu hajaenda kwenye mafunzo kwa vitendo na haieleweki nn kinachoendelea wakati muda wao wa mafunzo unaisha maana tarehe 5 mwezi wa 5 wanaanza mitihani ya kuhitimu mafunzo...
Walimu wanafunzi wa ngazi ya cheti na stashahada mpaka hivi sasa hawajaenda kufanya mafunzo kwa vitendo( BTP). Pamoja na kuwa siku zao za kuhitimu mafunzo hayo zimekaribia kabisa maana wanaanza mitihani tarehe 5 ya mwezi wa 5. Je watafanya BTP kwa muda gani na je wasipofanya wataptaje vyeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.