David Kitundu Jairo atiwa mbaroni na TAKUKURU

David Kitundu Jairo atiwa mbaroni na TAKUKURU

Mbona hapo na bado sana...
oct lazima wasambaze -----.
 
Aaaaah!! HUYU David JAIRO hii sasa ni sifa khaaaa!! Kila mara yeye rushwa tuuuuuuuu
 
Mkuu Jairo hana kosa wala hagawi rushwa, drama hii inakuja baada ya Savimbi kususiwa na watia nia wenzake wote ikiwa ni pamoja na Jairo kutokana na Savimbi kugawa rushwa kama matogo, mpaka kupelekea vijana wa Dr. Hosea kumuhoji kwa zaidi ya masaa manne.

Si unaujua umafia wa Savimbi?....usishangae basi yaliyompata Jairo!
 
Sasa kama wanakulana wenyewe kwa wenyewe, Chadema wafanyeje?

CCM wahujumiane tu na mie nasema wahujumiane maana HAKUNA JINSI.

Wanapohujumiana Wenyewe Kwa Wenyewe, Ndio Takukulu Inaonekana Lakini Ccm Wakiihujum Chadema Takukulu Kimya, Hii Ndio Tanzania Uijuayo
 
Takukuru ndio haohao ccm ilo soo litaishia takukuru ingekuwa wapinzani ingekuwa inshu
 
Wanatudanganya Kwamba wanapiga Kazi Kumbe Botion tupu. Hakuna vya Kukamatwa Hakuna Vya Mwakalebela wa

Iringa.Ni Uwanii Mtupu. Vinginevyo Watuambie Ile Minote ya Mhindi Dodoma Status yake Imefikia wapi.

Takukulu Hauna Lolote wala Chochote.
 
kwa kweli hii demo kasia ya bongo unagombeza rushwa while unafanya rushwa
 
majimboni watu wanatoana nyongo na loho safari hii.
Kila mtu ana hasira na kila mtu anajiona anaweza kuingia mjengoni.
 
Huu ni uzushi kabisa na ni kazi ya mwigulu kwakuwa yy alidakwa anataka kumchafua mwenzake akijua kabisa hana chake.leo walikuwa kisiriri na kidaru na pia huyu jamaa ni waajabu sana alipita akiwaaminisha watu kuwa wenzake wamemkimbia leo hii anarudi mle mle sijui anawaambia nn watu wale wale. Lakini atambue tu Mungu atatenda haki na yy hatarudi tena.
 
Takukuru wa Iramba ni jwtz, hawana mchezo, ukivaa sare yao wakikubamba hata hapa kariakoo wanakuchojoa.
 
Back
Top Bottom