mapambanodaima
Senior Member
- Oct 22, 2012
- 108
- 15
Walimu wanafunzi wa ngazi ya cheti na stashahada mpaka hivi sasa hawajaenda kufanya mafunzo kwa vitendo( BTP). Pamoja na kuwa siku zao za kuhitimu mafunzo hayo zimekaribia kabisa maana wanaanza mitihani tarehe 5 ya mwezi wa 5. Je watafanya BTP kwa muda gani na je wasipofanya wataptaje vyeti wakati alama za mfunzo hayo hazitakuwepo pia kwann isiwekwe wazi ili watambue maana sasa hivi wameathirika kisaikolojia darasan wapo wapo tu. Je ni idara gani ambayo inaendesha mafuzo ya taaluma ikakosa kuwa na mafunzo ya vitendo. Tanzania ni bora elimu au elimu bora