Recent content by Maova

  1. Maova

    Fuatilia hii story ya K.O utajifunza kitu

    hivi bado unampenda au umpendi? tuanzie hapo kwanza.
  2. Maova

    Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

    inatakatisha na inakulinda, usisahau kuamini. jaribu
  3. Maova

    Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

    ifanye chumvi iwe sehemu ya maisha yako
  4. Maova

    Mhaya vs Mjaluo

    wajaruo umetupa credit sjawai skia. ujazungumzia ile samaki Kamongo mbona hvyo jamani.
  5. Maova

    Nina umri wa miaka 30. Sitaoa ndani ya miaka 20 ijayo

    "hv ukifikisha miaka 50+ uzeen ( yaan hapo utakuwa huna hata nguvu ya kunyanyua ndoo ya maji) nani atakuwa anakuhudumia au ndo utaenda kuji attach kwa ndugu" ?
  6. Maova

    Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

    Kuna jamaa yangu huyo ana changamoto kama hizo, unakaa nae kumpa mbinu akitoka hapo anarudi kwa shemej kulialia anakutajamo na mbinu ulizokuwa unampa yaan ni hatari.
  7. Maova

    Hii ndo namna pekee ya kuwasaidia vijana wa Kitanzania. Soma utakuja kunishukuru

    Hayo mabondo unayosemea, huko visiwani unapoenda kuchukulia hao samaki je utayakuta ndani ya samaki au wajanja nao wanayatoa kabla ya kuuza samaki?
  8. Maova

    Kosea vyote, usikosee mume

    Hv unazani mama mkwe ali hustle vip na mwanae mpka kawa hvyo mnakutana ukubwani, acha mother afaidi matunda ya mwanae kwanza.
  9. Maova

    Maisha na formula zake

    Amen 🙏
  10. Maova

    Wauza smartphone tukutane hapa

    ✴iphone 6s plus ✴storage 64GB ✴ clean as new ina miezi 5 tu ✴Battery Healthy 🔋100% ✴Fingerprint 🆗️ 💰 kwa 370K tsh/ tu ☎️📞:+255 755553930
  11. Maova

    Uchawi: Nguvu ya uchawi na uwezo wa kuloga, jua kwanini unalogwa na kuchezewa

    Hiv sadaka ni tu kupeleka kanisani, kwa mfano: nikimyima jirani yangu hela ya chakula siku hiyo na kuileta kanisani ni sawa? Msaada mkuu hapo.
  12. Maova

    Sipendi kwakweli

    Kumbe ndo mlivyo eeee, uwa mnatuchora tu.
Back
Top Bottom