Recent content by maoni yangu

  1. M

    JamiiForums Tanzania China MBBS Scholarship 2016

    kawaida chuo kinakuwa kimeandika kwenye website yake, yaani kwenye maelezo ya kwenye website ukiona chuo kinasema kiko "under project 211" au kipo "under project 985", ujue hiko chuo ni bora. Kwakukusaidia kuelewa vizuri, fungua website ya SICAS kisha ingia kwenye list ya vyuo vyao, ukifungua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania China MBBS Scholarship 2016

    Vyuo vikuu bora China ni vile ambavyo vimepewa na serikali yao title inayoitwa "national project 211" au "national project 985". Nakushauri uangalie kama hiko chuo kina title hiyo. Wengi hawalijui hili jambo wanapoapply vyuo vya China
  3. M

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu kafanana na Tundu Lissu

    Mtangazaji Ephraim Kibonde naye amefanana na Dwight Yorke mchezaji mpira wa zamani wa Manchester United.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijimambo vya wanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wa kutokuwa wakweli

    Kuna msemo unasema wanawake huwa wanazungumza wasichomaanisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kulihitajika uchunguzi wa kina dhidi ya Dr. Faisal kwanza!

    Jpm akiteua wakuu wapya wa mikoa amtose Mulongo sababu huyu hana credibility kabisa, tuangalie kutoka udc Bagamoyo nyumbani kwa mkwere hadi urc Arusha hakukuwa na kigezo chochote cha msingi. Nitashangaa akipewa tena ukuu wa mkoa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA washinda kiti cha Umeya Kinondoni, 16 January 2016

    Safi sana ukawa. Mussa Natty ashukuriwe kama sio yeye kuhairisha uchaguzi wa Kinondoni ukawa wangepoteza haki yao ya kushinda.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

    Ngada mbaya sana, inalostisha maisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Asante Maalim Seif, umedhihirisha kwamba huna mchezo na wasaliti

    Hawana uadui kwasababu juzi maalim aliaandaa maulidi na Lipumba alikuwepo
Back
Top Bottom