Asante Maalim Seif, umedhihirisha kwamba huna mchezo na wasaliti

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,690
239,249
Nimeangalia mkutano wako sijamuona Lipumba , pamoja na njama zake za kujisogeza sogeza Buguruni lakini wewe hukumpa upenyo kwenye mkutano wako wa " KIMATAIFA " .

Nimefarijika sana kumuona Mwenyekiti wa halali wa CUF Mh Twaha Taslima kwenye meza kuu , hakika tunatakiwa kutowapa upenyo wasaliti .
 
Last edited by a moderator:
nimeangalia mkutano wako sijamuona Lipumba , pamoja na njama zake za kujisogeza sogeza Buguruni lakini wewe hukumpa upenyo kwenye mkutano wako wa " KIMATAIFA " Nimefarijika sana kumuona Mwenyekiti wa halali wa CUF Mh Twaha Taslima kwenye meza kuu , hakika tunatakiwa kutowapa upenyo wasaliti .
Unaongelea mkutano Maalim Sief wa Makamo wa Kwanza wa Rais (Dr. Shein) anayedaiwa kuwa muda wake wa utawala umeisha kitambo...lakini ule wa Maalim, makamo wake haujpita .
Ajabu sana hii.
 
nimeangalia mkutano wako sijamuona Lipumba , pamoja na njama zake za kujisogeza sogeza Buguruni lakini wewe hukumpa upenyo kwenye mkutano wako wa " KIMATAIFA " Nimefarijika sana kumuona Mwenyekiti wa halali wa CUF Mh Twaha Taslima kwenye meza kuu , hakika tunatakiwa kutowapa upenyo wasaliti .
kamwe nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Prof. Lipumba ni msaliti. Prof na Dr. slaa walisimamia kile wanachokiamini. dunia itawashangaa kama hamuwezi kuelewa hata haya mambo rahisi kiasi hiki.
 
nimeangalia mkutano wako sijamuona Lipumba , pamoja na njama zake za kujisogeza sogeza Buguruni lakini wewe hukumpa upenyo kwenye mkutano wako wa " KIMATAIFA " Nimefarijika sana kumuona Mwenyekiti wa halali wa CUF Mh Twaha Taslima kwenye meza kuu , hakika tunatakiwa kutowapa upenyo wasaliti .
YAANI UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NDIO UMEISHIA HAPA? SHAME!
 
MAANDALIZI YA UCHAGUZI TAYARI. NINYI MKISUSIA TADEA, ACT WAZALENDO NA VINGINE VITASHIRIKI
 
Akili za baadhi ya wafuasi wa upinzani jamani. Hivi hamuoni tu kwamba Seif na yeye ni kama Shein tu? Kama yuko serious na anacho kisimamia mbona haachii umakamu rais? Au yeye cheo chake hakijapitwa wakati wake?

Alafu unakuja hapa unatwambia Seif ni shujaa!
 
maalim kishafafanua kwamba amebaki kibabe ili kunusuru wafuasi wake , na hoja hiyo nimeikubali .
 
hawana uadui, mimi ni mpinzani ila lipumba alipojitoa nilimuelewa wala sikuichukulia personal
na unatakiwa kujua kwamba Lipumba ndio mgeni wa kwanza kumtembelea Dr Magufuri ikulu ,ulishajaribu kujiuliza kwanini?
 
jina lenyewe jibu hovyo
Msaliti Ni Mbowe.. Katupoteza WaTz wengi sana.

Ila kwa sababu Lowassa Ana Nyota.. Alifanikiwa kuwashika baadhi ya wana Chadema na Baadhi ya CCM tunahisi Lipumba (Pro) na Slaa (Dr) ndio wasaliti.

Mungu atusameh
 
Back
Top Bottom