Recent content by mao huu

  1. M

    JamiiForums Tanzania swali:mahandaki ya kilimanjaro?

    kilimanjaro mkoa,maeneo ya marangu na kilema
  2. M

    JamiiForums Tanzania swali:mahandaki ya kilimanjaro?

    samahani wakuu,mahandaki yaliyopo kilimanjaro yalijengwa na watu gani na ni lini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nape si mzima!!

    Nape angejiimarisha kisiasa kama angeliongelea namna nchi yetu ingejitoa katika ufisadi uliokubuhu, chaguzi zinazotawaliwa na rushwa, mfumuko wa mkubwa wa bei, nk nk Lakini kwa hili la kusimamia kadi ambayo haina uhusiano na maisha ya watanzania, nina mashaka na uwezo wake kisiasa na kiuongozi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar 'Hakuna wakati wowote unaoruhusu mtu/watu kuendesha mihadhara ya kukashifu imani ya mwingine/wengine. Uhuru wa kutoa maoni utofautishwe na kashfa za imani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    Mm Sidhani kama yeye ni mtu wa kwanza kusema hilo na wala hatakuwa wa mwisho. Kwamba Pasipo ajiri vijana ni bomu linalusubiri kulipuka nimelisikia miaka mingi sana, na itaendelea kusemwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    Yaani sipati picha
Back
Top Bottom