hapo mm sijaona serikali ilipotikisika ila nape ndoo anazidi kutikisika hajaelewa maana ya serikali ya viwanda kuwa lazima kuwepo umeme wa uhakika ndiyo maana mkuu wake aluzunguka nchi nzima akinadi ilani yake kuwa ni tanzania ya viwanda, sasa sidhani kama bila huo umeme wa uhakika kunaweza...
lema sasa hivi hana chakuongea zaidi ccm imemzdi ujanja hapa mjn,anafkria ni zama za ni heshima kubwa kwa mungu kumzomea mwizi fisadi kama lowasa, sasa hivi hana akiba ya maneno kila siku anahubiri demokrasia na kuonekana kwenye camera akizika mbwa wa nasar,arusha haturudii makosa tena
safar zako ulizfaidi ww mzee wa msoga na washirika wako, kiujumla utawala wako mm hakuna nilichokipata zaidi ya kusikia pesa za serikali znavyokuwa znatafunwa na wateule wako
mhhh thread yako imejaa upupu,si kila taarifa lazma raisi aseme huwezi kujuwa ni mikakati ipi inafanywa na wizara husika,kwa hyo ulitegemea akiwa pale aongelee ya walimu na afya?
siyo tishio kwa democrasia hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria, unahubri democracy ipi zitto, unafiki mliokuwanai enzi hizo ndoo unawafanya muwe hivo sasa hivi pesa hamuwezi kupiga,baada ya kuona hivo mmeona ni bora kila siku tuandae matukio ambayo ni hatari kwa taifa letu, hoja hamna...
siku zote hakuna aliyejuu ya sheria uongozi wote kuwa ndani haimanishi kwamba wao wanaweza kufanya chochote wakaachwa, kabla hujahubri democracy angalia viongozi wako kwenye mikutano ya siasa wanayowahadaa wananchi ukisha angalia hayo jiulize democracy safi ni matusi na kuftinisha serikali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.