Recent content by Manyuzi

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wenzangu habarini..kuna kitu nimekutana nacho fb na baada ya kufatilia sana nikakiona sehem nyingi pia mitandaoni na naomba kuuliza swali. Kuna jamaa mitandaoni UK, Kenya,Nigeria, Australia etc wanatangaza kuuza/kudeal na fixed matches HT/FT, correct scores, etc. Wao wanadai kuna baadhi ya...
  2. M

    Furahia Internet Bila Modem

    Watu wengi wanafahamu kuconnect PC kwenye internet kwa kutumia Wi-fi hotspot ya smartphone au USB tethering. Unaweka bundle ktk smartphone then unaiwezesha simu yako kutoa wi-fi ambayo wataweza connect watu wengine au vifaa vingine kama simu au laptop max 10 devices. Kitu ambacho watu wengi...
  3. M

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Ktk simu download software inaitwa tubemate (tubemate.com) hyo bab kubwa. Ukisearch video ukaiplay kwa juu unatokea mshale wa kijan kukuruhusu udownload. Click mshale, Select resolution unayoitaka then download Kwenye pc inategemea na browser unayotumia ungeweka wazi browser yako
  4. M

    Njia rahisi ya kupakua movies, softwares na games

    Kaka, utorrent itakusumbua. Tumia software ya FDM waweza download hapa FileHippo.com - Download Free Software Hyo software inakuwezesha kudownlad torrent files bila kutumia software ya utorrent Unachotakiwa kufanya ni hiki: 1) Install FDM 2) Nenda ktk torrent site kama kat.cr au piratebay.se...
  5. M

    Njia rahisi ya kupakua movies, softwares na games

    Kwa wale wapenda series, Njia rahisi and very fast pia kudownload muvi au series kwa kutumia IDM au free download manager FDM (torrent iko too slow) Kwenye PC yako install FDM au IDM na set as default downloader. Nenda ktk browser yako na fungua eztv.ag then click show list. Hapo zitakuja...
  6. M

    Uchambuzi vifurushi vya halotel

    Mkuu....airtel sh 6000 unapata 4GB mwezi mzima. 1500 unapata 1GB 7days
  7. M

    Manji: Nchi yangu hainithamini

    Nadhan muda wa kumdhibiti Manji umefika. Nimefatilia taarifa nyingi na wasifu wa huyu jamaa naona kabisa its enough kuyumbishwa nae. Hapo alipo kwanza alitakiwa hata afunge domo lake asiongee kitu coz ambayo ashatufanyia ni makubwa zaidi 1) Kwanza hastahili kuwa na pasi ya kusafiria ya Tanzania...
  8. M

    Serikali yazungumzia tishio la Serikali ya Marekani kusitisha misaada

    Naomba kuuliza,huo msaada ni kama mkopo ambao tutahitaji kuulipa baadae??? maana bil 900 ni pesa ambayo TRA wanaweza kusanya ndan ya mwez mmoja. Mie nadhan marekan wanamtest magufuli kuona kama anaobey. Kila nchi dunian sasahv inajua Tanzania has a new strictly sherrif (JPM) ambae analeta...
  9. M

    Baraza la Mawaziri: Rais anafanya kazi ya ziada, anaruka viunzi kabisa

    Kama kuna hazina nje ya CCM ambayo tunaifumbia macho badala ya kuitumia ni Prof Ibrahim Lipumba. Huyu jamaa nataman apewe Wizara fedha au uchumi na mipango. Nchi za wenzetu zinamtumia tu na zinafaidika nae wakat sisi hata hatumjali.
Back
Top Bottom