Recent content by manyubhu wa manyubhuke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Umenikumbusha nilipata mmoja ni hakimu siku hizi kila kitu ni mjuaji, ukiomba game hataki anakwambia ana haki yake, nilimwambia siku na mm nikiwa tayari tena nitamwambia. Toka siku hyo hakuniona tena.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Interview za TRA hazijatenda haki

    Kuna mahali nakubaliana na wewe ila kuna mahali ukweli usemwe Mm pia nilifanya huo mtihani nikiwa kituo kimoja nilliona kuna mtu alikuwa ameitwa kwenye tax management officer amesoma public administration (entrepreneurship) kama sikosei Ila tangazo lilitaka mtu awe na accounting/ finance jamaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kwenye usaili TRA

    Mmmh hivi ni kweli?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

    Nyie ndo mnaamini binadamu tulikuwa manyani miaka maelfu, au dunia hii haikuumbwa ilitokea Tu kwa super natural power,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuunganishe Ukerewe na nchi kavu

    Labda watumie maguvu. Wakerewe kutuchanganya na wajita na wakurya ni kutukosea Sana😁😁😁😁😁
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    unataka waweke dar, kwami wale wa mikoani hawakutumia gharama? acha ubinafsi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    ikitokea wakarudia nfikili unaruhusiwa, maana mchakato unaanza upyaaaaaaaaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    wale wanufaika wa wizi wa mitihani hongereni, endeleeni kuiba mno aisee. yaan watu waniba mtihani halafu huoni athari eti na wewe uko ofisini. wezi wakubwa nyie
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Suala la ajira imeshakuwa tatizo hii nchi yaan kila mahali ni rushwa, sasa sijui wanyonge kama watapona. kama hawatarudia hii pepa sitakaa nikafanye hii mitihani tena
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu ni muhimu sana

    tanroad Mara
  12. M

    JamiiForums Tanzania 5 Government Jobs At TANROADS In Morogoro Region, April 2021

    weighbridge shift incharge
  13. M

    JamiiForums Tanzania 5 Government Jobs At TANROADS In Morogoro Region, April 2021

    weighbridge shift incharge
  14. M

    JamiiForums Tanzania 5 Government Jobs At TANROADS In Morogoro Region, April 2021

    anayejua maswali usahili tanroad anisaidie kunipa ABC
Back
Top Bottom