Recent content by Manyoricko

  1. Manyoricko

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!

    naona bado zamu ya julius mtatiro au yeye atapewa ubalozi wa canada
  2. Manyoricko

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!

    ngoja nitume cv zangu ikulu naweza bahatika nikawa mrithi wa kidata:D:D
  3. Manyoricko

    Ipe neno hii picha

    huu mkono mbona kama wa dume
  4. Manyoricko

    Mnaoenda kujifungua Marekani...Trump: End birthright citizenship for some US-born babies

    mkuu tanzania hawatoi uraia wa kuzaliwa nadhani marekani pekee ndo nchi ambayo bado inatoa uraia wa kuzaliwa...Am ready to be corrected if am wrong
  5. Manyoricko

    Mnaoenda kujifungua Marekani...Trump: End birthright citizenship for some US-born babies

    mkuu mbona hueleweki ulichoandika, jaribu kupunguza jazba kisha uandike tena maybe ndo utaeleweka maudhui yako
  6. Manyoricko

    Mnaoenda kujifungua Marekani...Trump: End birthright citizenship for some US-born babies

    sina uhakika sana na hiyo figure nimefanya roughly estimation according to number of members in diaspora community, for example houston, texas community ambayo ndio inasemekana ina diaspora wengi members wake hawazidi 1300.Anyway nadhani nyani ngabu anaweza kutupa idadi nzuri ya watanzania wote...
  7. Manyoricko

    Mnaoenda kujifungua Marekani...Trump: End birthright citizenship for some US-born babies

    me nahisi nigerians walikuwa wanafanya hivyo wakiamini ukiwa na mtoto mwenye uraia wa marekani itakuwa easier kwao kupata permanent resident or kupata visa ya kuingia USA mara kwa mara
  8. Manyoricko

    Mnaoenda kujifungua Marekani...Trump: End birthright citizenship for some US-born babies

    hivi unajua idadi ya wabongo wote waishio marekani ni kama 30000 hivi hyo ni idadi ndogo compared with west african countries ambao wamejazana huko
  9. Manyoricko

    Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kuapata green card Uraia wa Amerika

    mkuu itabidi ujue hyo lugha ya malkia maana ndo inatumika kwenye interview ubalozini pia kumbuka huko marekani hawaongei kimakonde(just kidding)
  10. Manyoricko

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    wale ambao mlikuwa mnafatilia huu uzi tangu mwanzo tupeni mrejesho mmefikia wapi
  11. Manyoricko

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    ingia kwenye website yao then ufate maelekezo dvlottery.state.gov
  12. Manyoricko

    msaada jaman

    nina chip yang ya zantel nimejiunga na huduma ya epiqnation nikajarib kuichomeka kwenye modem ya zantel ambayo imeisha bundle but imegoma kufungua website inaniambia nirecharge msaada wanajamvi
Back
Top Bottom