Haya kwa wale wanaotaka kwenda kuishi amerika na kuapata green card Uraia wa Amerika

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Na vipi kuhusu nauli na bank statements
ukisha pata hiyo Bahati nasibu ya uraia nauli utajitolea wewe mwenyewe kivyako. Hawata taka Bank account yako watakacho hitaji ni vyeti vyako vya chuo ulivyo soma na Passport yako na cheti chako cha kuzaliwa kopi yake tu ukisha waonyesha wanakupa kadi yako ya Uraia wa kuingia Amerika wakati wowote unao taka kwenda utakuwa unakwenda bila ya viza kwenda na kurudi wakati wowote kwa muda wa miaka 10.
 
DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
1,155
Points
2,000

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
1,155 2,000
ukisha pata hiyo Bahati nasibu ya uraia nauli utajitolea wewe mwenyewe kivyako. Hawata taka Bank account yako watakacho hitaji ni vyeti vyako vya chuo ulivyo soma na Passport yako na cheti chako cha kuzaliwa kopi yake tu ukisha waonyesha wanakupa kadi yako ya Uraia wa kuingia Amerika wakati wowote unao taka kwenda utakuwa unakwenda bila ya viza kwenda na kurudi wakati wowote kwa muda wa miaka 10.
Daaah...so marekani ntakua naenda kama naenda Temeke tu

So chance ya kuwin ikoje (probability) na per country (Tanzania) wanapewa wangapi kikawaida?
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Daaah...so marekani ntakua naenda kama naenda Temeke tu

So chance ya kuwin ikoje (probability) na per country (Tanzania) wanapewa wangapi kikawaida?
Ndio ukipata Green Card ya Amerika umekula kuku Mkuu utakuwa unakwenda Amerika kama vile unatoka Kariakoo kwenda Temeke. Kila mwaka watu 50.000 wanapata nafasi hiyo ya kushinda bahati nasibu ya Green Card.
 
Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
8,165
Points
2,000

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
8,165 2,000
Kuna umri wa kuzunguka zunguka duniani,na kuna umri wa kutulia mahali ulipo na kupambana;sasa ushinde bahati nasibu uanze kuangaika kutafuta nauli,ufike kule nje uanze kutafuta kazi n.k kwa ushauri,kama mtu amefika 40+ kuzunguka zunguka hakuna tija pambana mahali ulipo.
 
Alice 18

Member
Joined
Oct 12, 2018
Messages
7
Points
20

Alice 18

Member
Joined Oct 12, 2018
7 20
ukisha pata hiyo Bahati nasibu ya uraia nauli utajitolea wewe mwenyewe kivyako. Hawata taka Bank account yako watakacho hitaji ni vyeti vyako vya chuo ulivyo soma na Passport yako na cheti chako cha kuzaliwa kopi yake tu ukisha waonyesha wanakupa kadi yako ya Uraia wa kuingia Amerika wakati wowote unao taka kwenda utakuwa unakwenda bila ya viza kwenda na kurudi wakati wowote kwa muda wa miaka 10.
Ila nackia unahitaji proof ya financial self sufficiency ili ukifika US usiwe tegemezi
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
Hivi tuseme umekuwa selected kwenye dv lottery na huna mtu unaemfahamu USA akupokee japo pesa ya kujikimu unayo inakuaje?
Kwanini sisi tulivyo safiri kwenda nje hatukutegemea tutawakuta watu au Wa-Tanzania wa kutupoke Hoteli zipo kibao ukiwa na pesa utafikia Hoteli baadae utakutana na Wa-Tanzania wanaoishi huko uliko kwenda kutafuta maisha.
 
Eidj5

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
505
Points
500

Eidj5

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
505 500
Aisee hii procedures ya kujaza mkuu inapatikana kwa lugha ya kiswahili??? Manake lugha hii imekuja kwa ndege na mimi ni st kayumba type.
 
Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
986
Points
1,000

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
986 1,000
Kwanini sisi tulivyo safiri kwenda nje hatukutegemea tutawakuta watu au Wa-Tanzania wa kutupoke Hoteli zipo kibao ukiwa na pesa utafikia Hoteli baadae utakutana na Wa-Tanzania wanaoishi huko uliko kwenda kutafuta maisha.
Mkuu nime kutumia ujumbe kwa email..
 
mnengene

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Messages
1,552
Points
2,000

mnengene

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2011
1,552 2,000
Green Cars inakusaidia kuishi Amerika kwamuda wa miaka 10 bila ya viza ni kama kupata nusu Uraia wa Amerika kwani ukiweza kuishi amerika ukapata kazi na mshahara mzuri na unaweza kufanya kazi amerika na nyumbani ukajenga nyumba na kuwa na gari na maisha yako yakawa mazuri kwa muda mchache tu.
Ni hivi navojua Mimi ukiwa na hiyo resident permit na ukaitumia kuishi USA Kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo bila kutoka na bila kufanya kosa unapatiwa uraia wa USA
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,236
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,236 2,000
kwa wale munaotaka kwenda kuishi Amerika kupata Urai na kazi Jazeni Form hii hapa chini imefunguliwa Tangu tarehe 3/10/2019 na itafungwa rasmi Tarehe 30/10/2019 kazi kwenu kwa mwenye kutaka Apate Bahati nasibu ya kuchaguliwa kuwa Raia wa Amerika kujaza Form yako.bonyeza hapa.https://www.dvlottery.state.gov/
itafunguka bonyeza hapo pailipo andikwa jina hili Entry Form (Begin Entry) itafunguka utajaza form hakikisha unayo Picha yenye ukubwa wa 600 pixels wide by 600 pixels picha iwe picha ya rangi. Ukishindwa kujaza nitafute kwa wakati nipate kukujazia kwa malipo sio bure.

Kurekebisha picha yako kama ipo sawa bonyeza hapa.Photo Requirements
Angalia video jinsi ya kujza form bonyeza hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=-BLwf-CigOc
kuweka picha kwenye Form bonyeza hapa.
https://www.youtube.com/watch…
ukishindwa kuweka picha au kujaza Form nitafute kwa wakati wako nipate kukusaidia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

VIZA CARD.jpg
 
alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Messages
926
Points
1,000

alumn

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2018
926 1,000
aah mkuu mzizi mkavu najaribu kutuma inasema URL request was rejected why ?
kindly give me an explanation why?
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
34,406
Points
2,000

Dinazarde

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
34,406 2,000
kwa wale munaotaka kwenda kuishi Amerika kupata Urai na kazi Jazeni Form hii hapa chini imefunguliwa Tangu tarehe 3/10/2019 na itafungwa rasmi Tarehe 30/10/2019 kazi kwenu kwa mwenye kutaka Apate Bahati nasibu ya kuchaguliwa kuwa Raia wa Amerika kujaza Form yako.bonyeza hapa.https://www.dvlottery.state.gov/
itafunguka bonyeza hapo pailipo andikwa jina hili Entry Form (Begin Entry) itafunguka utajaza form hakikisha unayo Picha yenye ukubwa wa 600 pixels wide by 600 pixels picha iwe picha ya rangi. Ukishindwa kujaza nitafute kwa wakati nipate kukujazia kwa malipo sio bure.

Kurekebisha picha yako kama ipo sawa bonyeza hapa.Photo Requirements
Angalia video jinsi ya kujza form bonyeza hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=-BLwf-CigOc
kuweka picha kwenye Form bonyeza hapa.
https://www.youtube.com/watch…
ukishindwa kuweka picha au kujaza Form nitafute kwa wakati wako nipate kukusaidia.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

View attachment 1225388
Mbona huelezei gharama ni bure au ?
 
Forum statistics

Threads 1,344,038
Members 515,307
Posts 32,805,628
Top