Recent content by manyarakwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mi nauliza kuhusu hizi tiba lishe za BF suma na forever living products. Maelezo yanayotolewa kitiba ni za kweli? Au utapeli?
  2. M

    JamiiForums Tanzania NABII MALISA: Yanga sc itaukosa tena ubingwa wa TPL kwa tofauti ya points chache

    Huyo sio Nabii ni mshabiki wa simba, mwamba ngozi huvutia upande wake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Mtoa Mada ameongea mambo ya ukweli. Hakuna beberu anayetaka azidiwe na nchi yoyote ya Africa. Wazungu wanataka daima Africa iwe chini yao. Haiingii akilini eti uharibifu wa mazingira upi? Hao nao ni mamluki wa mabeberu wasioitakia mema Africa. Anasimama mbunge na kutetea upuuzi hta hana haya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    Huyo shujaa wa Africa, hvi ni kiongozi gani mwingine wa Africa ambaye anaweza kuongoza mapambano kuipigania nchi yake kama Abby Ahmed wa Ethiopia?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bila wachezaji hawa, leo Simba ilikuwa anafungwa na Yanga

    Jamani haijawa ugomvi. Tuseme tu kwamba timu zote zilicheza vizur
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Ni zipi dalili za mawe katika Figo?
Back
Top Bottom