Ukisema Marekani anawasaidia TPLF unamaanisha Marekani kapeleka msaada wa Silaha nzito Kama ndege za kivita za F-22,F-35,B-52,B-2 Sprit,Mifumo ya Ulinzi Kama PAC-3,Patriot,THAAD,Arrow-2,Na Makombora ya Masafa Marefu. Je,hizo Siraha Wameshapewa hao TPLF ili tuamini kweli Marekani Anawasupport hao Wapiganaji? Kama wana Silaha za AK-47 na Mabomu ya kurushwa kwa mkono tu sihesabu msaada wa Marekani hapo.
Hivi Marekani akitangaza hadharani kuwaunga mkono TPLF Kijeshi na kuamua kumwaga Siraha za Kisasa kwa waasi Kama Serikali ya Abby inavyosaidiwa na Nchi tano unafikili Serikali ya Abby itasimama hata kwa wiki moja kabla ya kuangushwa na waasi?
Jaribu kuchekesha hicho kichwa vizuri harafu ndio useme Marekani Anawasupport.
Muulize Gaddafi alichukua mda gani baada ya Nato kutangaza hadharani kuwaunga mkono Waasi. Ndege za kivita za Nato zilijaa kwenye Anga la Iraq na Gaddafi akaishia kujificha kwenye Caravert.