Ubarikiwe sana mpendwa na pole sana kwa manyanyaso ya kuwekwa mahabusu uliyofanyiwa, Mungu azidi kukupa nguvu zaidi ya kuwatumikia watanzania, kesho ni nzuri zaidi kuliko jana! Ukiona haya jua kwamba Safari ya magogoni imekalibiria kwa wananchi kuchagua sera mbadala zitakazokomesha manyanyaso...
Ameonyesha uwezo mdogo sana, wenzetu wapo kwenye Karne ya kutumia maarifa na hekima, yeye anatumia nguvu hivyo kumfanya asijue anaongoza kazazi gani! Yupo way behind na muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.