Recent content by manunuzi

  1. M

    Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali

    Mr. Mayala, nani alikuambia kuwa wote wanaosafiri kwenda Mwanza ni Wasukuma? Unadhani Jiji la Mwanza limejaa Wasukuma? Nilitegemea kuona kwenye andiko lako kuwa maandishi na maelezo yaliyotolewa ndani ya ndege ni ya lugha ya Kisukuma ningekuelewa kuwa Wasukuma ndio waliojaza ndege hiyo. Hivi...
  2. M

    Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

    soma hapa upate story kamili kuhusu Cleopatra: https://www.history.com/topics/ancient-history/cleopatra
  3. M

    USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    watu wanalalamika kuwa mtoa mada sio mchumi na kwa hiyo hana haki ya kutoa tathmini, swali kwenu wote ni je, huyo CAG aliyetoa ripoti inayojadiliwa ni mchumi?
  4. M

    Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Nimeamua kujitosa jamvini japo si kawaida yangu kwa sababu mada hii imenigusa! Kwanza kabisa naomba wote msome katiba ya nchi inavyoeleza kuhusu wajibu na kazi za mbunge. pili, kuhusu pesa ya mkopo wa gari. Huu ni mkopo ambao hutolewa kwa masharti kwamba urudishwe ndani ya miaka mitano kupitia...
  5. M

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Hii inatisha sana hapo tu kwenye mavazi je mlo kwa siku si ndo itakuwa taaabu sana!
  6. M

    Kukabidhi nchi UKAWA!

    Nchi nyingi za Africa zinaingia kny machafuko kwasababu ya issue kama hii, upinzani ukishinda basi chama tawala huwa hwakubali kuachia dola hili ni tatizo sana,Labda kwa kutumia nguvu ya umma.
  7. M

    Mathematics teacher wanted

    Only serious inquiries should be sent to the email above and nowhere else!
  8. M

    Mathematics teacher wanted

    Mathematics teacher urgently neededd. send email to: manunuzi@gmail.com
  9. M

    mjini hakuna wazee

    Mi naona kama babu anaamulia ugomvi vile!!!!!!!!!:yo::high5:
  10. M

    Zitto ndani ya 835KJ

    Nilikuwa Mgambo mwaka 1991/92, ni poa sana kwenda JKT, mliokosa mnapungukiwa na kitu has uzalendo!!!!!!!!
  11. M

    Hongera Tundu Lissu: Hoja ya kurudisha Tanganyika!

    CCM wakipata madaraka wanasahau egenda zao, kumbuka 1995 Kundi la wana CCm 55 (G55)? Hata Mkapa naye alikuwepo na kina Sumaye... na nani tena? Halafu, yeye Mkapa alifanya nini na hoja ya Tanganyika?
  12. M

    CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...!

    Kwa mtaji huu wa kualika vyama vya siasa Ikulu, basi JK ameshageuka tume ya kuksanya maoni ya katiba mpya, tusubiri bunge la katiba!:crutch:
  13. M

    Hizi ndizo Shule za Bongo. Baab Kubwaa

    Hilo galoni ni mradi wa icecream za mwalimu kujikimu wakati akisubiri mshahara uliochakachuliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. M

    List of shortlist - nao & necta

    Thanx bro for a useful post. As for whether mtu anapita au la, just believe, if you could become one of the 4K interviwees, how is that you dont believe to make it to the 100?
Back
Top Bottom