Recent content by Manumbu

  1. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Willian reveals his secrets to being the quintessential modern, two-way playmaker There is no talk of free kicks in Willian's interview with FourFourTwo. We already know the secret there. Practice, practice, and more practice. And then some more practice. And probably some pixie dust...
  2. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwanakwetu mie nipo. ila tumepigwa mpaka nimepoteza mwelekeo!! Ingawa hivyo sijakata tamaa ya walau 4 bora. in fact nahisi FA Cup litakuwa letu mwaka huu na huenda champions league tukafika mbali manake ndo viable options tulizonazo now that tunaanza kurudi mchezoni na hang over na utoto vinaisha
  3. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Pamoja na wakati mgumu tulio nao, bado tuna future. Timu yetu ni nzuri na kwa jinsi walivyocheza na Stoke, timu imebadilika sana. bila shaka tutaanza kupata ushindi kuanzia mechi ijayo. COme mwaka mpya tutakuwa tunajicheka kwa kuwa kwenye position isiyo yetu!
  4. Manumbu

    Ni hatari kuzeekea Tanzania

    Hili litakuwa la mbolea sana kutokea..na ccm hawatorudi tena asilani
  5. Manumbu

    Ni hatari kuzeekea Tanzania

    Six African nations 'among worst places to grow old' - BBC NewsBBC wanaarifu Tanzania si salama kuishi ukifika miaka 60 na kuendelea.
  6. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Time to be Special by Joe Tweeds As I trudged out of Stamford Bridge last Saturday there was very little to smile about. The grey sky encapsulated the mood of thousands uncomfortable in a damp and humid evening. Gone was the swagger of 2014, the steely determination of 2015 and in its place a...
  7. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    "All good. We are fine," Mourinho said. "Jet lag is minimal, the travelling was very short, it was a very good preseason in terms of travelling. We are in London since Wednesday morning, no problem. [We have] three top strikers. If one is injured, we have two. No concerns, no protections. It's a...
  8. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii lazima itawauma sana Liverpool akina Malafyale Mourinho Convinced Diego Costa to Turn Down Liverpool a Year Before His Chelsea Move Back in the summer of 2013, Liverpool weren’t having a lot of luck landing their hoped-for marquee signing. Henrikh Mkhitaryan had chosen Borussia...
  9. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Duh Benitez ana mke mbaya hivi!! Sikutegemea Latino wote waliojaa Spain jamaa ndo kaona aishie kwa huyu kata kichwa!!
  10. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huu uzi mweupe nimeupenda. uko vizuri sana
  11. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    by that time atakuwa bado yuko mawingu ya 9 ndo anarejea. na sitataka kudisupt mrejeo wake nisije nikampoteza bure kwa sudden heart failure
  12. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa mwanakwetu hutaki niangalie game wakati ntakuwa macho unataka nifanye nini? nipe ushauri wako based on your experience
  13. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hizo ni time zangu za kuamka. so kama wife hato mind, ntajaribu kuangalia
  14. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jamaa amekaa ki native American!!
  15. Manumbu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lile goli la Torres dkk za mwisho mwisho that night dhidi ya Barcelona was fantastic. nimelitazama tena kwenye video clip, wow haliishi utamu!
Back
Top Bottom