Recent content by manula

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    :):):)
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Hii comment yako inatakiwa kupigwa Lamination ile ngumu ili kumbukumbu isije futika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    ni sawa na kuwa mchezaji wa mkopo muda wowote anarudi kwa mwenyewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Kama unapresha na kisukari tafuta jimbo lingine ilo jimbo litakusumbua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    tena anakuwa muongo zaidi ya mwanasiasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Hii timu tukitaka ipewe sapoti hapa nchini hadi wakati wa Afcon basi viongozi wa kiserikali wakae kando kuanzia kuitwa wachezaji mpaka kambini kwao bila ivyo tutakuwa kama tupo ugenini vile uwanjani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muda unaotumika ili kupata cheti kipya cha kuzaliwa (Old to New) RITA

    Mimi si mwanachuo,ila cheti changu cha kuzaliwa nimezaliwa kilimanjaro,ila wakati wa kujaza Nida yangu sijui ni typing ya muandikaji akajaza nimezaliwa Dar,makosa yashatokea je naweza nikabadilisha cheti cha kuzaliwa sehemu ya kuzaliwa ikawa Dar ili kisitofautiana na nida,ni ilo tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

    Sheria zipo ni ukaidi wao tu hao wamiliki wa majengo,Tungepata raisi jamii ya magufuli lingetekelezwa ilo jambo,karibia nusu ya majengo ya kariakoo yana basement ila kwao wameona biashara zinaumuhimu kuliko parking................
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kumpa pole Samia Suluhu Hassan. Naanzia wapi?

    Kanzu mwilini na kichwani barakashia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Azam SC afariki kwa ajali ya boda boda

    “Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un”
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

    Nikupe siri ukiwa mwanaume na ukasomea usekretari kupata kazi ni rahisi sana hasa kwenye utumishi wa Umma ama taasisi binafsi kubwakubwa,wanawachukulia wanaume kama watu ambao kwamwezi mahudhurio yao ni mazuri kuliko wanawake,chukua code iyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Kumbuka hao walioitwa wakienda hawatoi maelezi mengi bali wanajibu maswali watakayoulizwa tu,mfano Lissu anaweza kumuuliza unafanya kazi gani,na majukumu yako kwenye kazi yako unayofanya ni ipi,mpaka hapo kama unahasira za haraka lazima jasho likutoke
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Sahihi kabisa usemayo,siku zote Mke akifa ndio utambulisho wa mume utajulisha ila kwa mke likishatajwa jina lake ama hadhi yake yatosha,ukishasema Mume wa Rais tutajua ni kiongozi wa nchi,ila kwa kwa mwanaume tutasema mke wa rais fulani kafariki
Back
Top Bottom