Recent content by manucho

  1. M

    JamiiForums Tanzania My photo album: A unique collection

    Picha ya kiatu cha gogo please
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mgana Msindai ahukumiwa kwa kosa la uzembe barabarani lililosababisha kifo

    Thamani ya uhai wa mtu ni 70,000Tshs
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakongwe Forum

    Umekimbiza vyema mkuu, big up sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Onyo kutoka JKT: Mtandao wa JamiiForums watajwa

    Kama alikufa mmoja kwa Anaemia ina maana hamna thorough check up ya afya kila wakati kujua kwamba hawa watu wako fit kiafya au la? Tatizo la hawa wanajeshi wa siku hizi ukurupukaji umewazidi no discipline no what. Nao wamekuwa wanasiasa tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

    Kina Dr. Kikwete, Prof. Maji Marefu, Dr. Manyuki, . . . . wamekaa darasani haswa hawa. Chama letu lina wasomi haswa. Kina Dr. Mwigulu Nchemba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Moto wa ACT Umezimikia wapi?

    Unajua sisi kama ACT-Tanzania chama makini kabisa cha kupambana na CDM tumejipanga ukanda wa Kigoma, Rukwa, Katavi, Tabora n.k ili tujidadavue kwamba sisi ni wa ukanda huu halafu CCM wataanza kutugeuka kwamba sisi ACT ni chama cha Magharibi a.k.a cha cha Waha na kuipakazia CDM ni chama cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania NHC ni bomu litalolipuka ndani ya miaka miwili hadi mitano

    Acha uongo wewe, usiongee vitu usivyovijua. Never ever repeat this again
  8. M

    JamiiForums Tanzania NHC ni bomu litalolipuka ndani ya miaka miwili hadi mitano

    Ukakope bank kwa dhamana IPI?? Kwa kipato kipi cha mtanzania??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kila nchi lazima kuna kitu kimoja iko fiti zaidi!

    7-Kinana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano ACT Kigoma Ni Aibu Tupu

    ACT chama makini cha kupambana na CDM, hii ndiyo kazi yetu kuu tuliyopewa kwa hisani ya serikali ya CCM
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi DMV USA: Udini na status quo vyatawala

    Hamna mnachofanya kwenye nchi ya watu mnatakiwa mpigwe ban ya maisha kukanyaga huko wote. Mnasumbua watu TU wenye shughuli zao huko
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iliyojaa rushwa yaaibisha tena

    Muafrika ameletwa duniani ili atawaliwe milele na mzungu. Mtu mzima amepewa kila kitu lkn bado hawezi ku-manage rasimali na maisha ktk nchi yake. Poor idiot watawala wanaotawaliwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania TBL yaonyesha sononeko lake kuhusu kuongezewa kodi kinyemela

    Nadhani serikali imeona watu wanatakiwa wapate mivinyo ya kienyeji zaidi kwa sababu walishasahau siku nyingi. Hiyo kodi wataisikia, ndani ya three month to come TBL watakuwa wamepata picha halisi. TBL funga kiwanda, SBL funga kiwanda. Mwigulu hana chanzo kingine cha kodi, poor Wahuni Watawala
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Solution: Acheni ufisadi, fanyeni mema ktk kuiweka nchi sawa kwa vizazi na vizazi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Ila mlimpa mnyaruanda uongozi nchini kwenu TZ. Mko smart waTZ
Back
Top Bottom