Tunaomba serikali ya awamu ya tano itutupie jicho la huruma watumiaji wa daraja.Viwango viko juu mno ukizingatia gharama za uendeshaji hazifanani na za vivuko.Nashauri mzigo ubebwe na wananchi wote ili NSSF wapate chao .
wananchi wapite bure daraja la kigamboni.RAISI wetu tunaamini unaliona hilo ndiyo maana limeanza bila tozo. 2020 kura zote zako. vyanzo vingine viilipe NSSF
Chonde chonde kwa jinsi navyojua watu wema wanashughulikiwa na mfumo ambao by and large umeota mizizi kwa mwendo huu ulinzi wa rais na whistle blowers uongezwe maradufu.Madudu ni mengi.Mungu amlinde Rais wetu na wafichua maovu
Chonde chonde kwa jinsi navyojua watu wema wanashughulikiwa na mfumo ambao by and large umeota mizizi kwa mwendo huu ulinzi wa rais na whistle blowers uongezwe maradufu.Madudu ni mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.