Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

IMG_3487.JPG
 
Nimekuja mbio kumbe ni utabiri kama wa twawezeshwa.....!!!
 
Okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Huyo atakuwa NESI cassava mke wa NAPE anaandaliwe press nyingine ya kumtukana Lowassa. Aje tu abwabwaje aende zake akamalizie kupokea balance yake.
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.
Unataka kusema nini? Lowassa atarudi CCM? Magufuli atatorokea UKAWA? Vinginevyo hakuna cho chote!
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.
Huna lolote, wewe ni "attention seeker" tu.
 
Heri kuirudisha ccm kuliko kundi la majizi yenye muelekeo wa kuigawa nchi kikanda

Chenge, Tibaijuka, Ngeleja, Mwambalaswa, Muhongo na Magufuli hawa wote ni wezi wa kupindukia sasa afadhali yupi hapo?
na wengi wamekili kwamba walichukua 1.6 bilion za Mboga
 
kama ni Dr.chips dume tumemzoea,ngoja nimpigie mshenga
Naona Dr Mihogo na mchumba wake Josephine wesharejea toka ziara yao ya utalii waliyoifanya Marekani kwa hisani ya watu wa KITENGO.

Kama ilibuma ile mission yao ya Serena Hotel basi mpango wao mwingine wowote muovu utashindwa kwa uweza wa Mungu.
 
mpaka ss hv tanesco imefilisika pesa ya escro ndio imesababisha.
 
Habari za kishigongo na kimbeya huwa sizifagilii kabisa..huna cha kupost si utulie kma sisi...maswala ya kukuletea habari za vijiwe vya kahawa mwache bana
 
sasa ndio umeandika nini hapo? ni sawa na kujifanya eti unatupenyezea kwamba huenda baadae umeme ukakatwa .
 
mara nyingi hiyo ni kazi ya mashabiki lakini ukiona mhysika yaani mpiganaji anaanza kutabili ujue ni dalili za kushindwa hivyo anaanza kuhamia kwenye vitisho. pamoja na nguvu aliyo nayo Lowasa mliwai kumsikia popote akiwatisha ccm ni nini angefanya iwapo jina laje lingekatwa? si wapambe wake ndiyo walikua wakitoa vitisho hivyo? kwenye kampeni zake mmewahi kumsikia akiwatahazalisha watu eti wajiandae au kua atapambana na watu fulani au watu fulani watakiona. yeye ni muumini wa madiliko hivyo ana amini kuwa hata waliopo wana nafasi ya kubadilika na kufanya vizuri ana amini kua mfumo uliopo ndiyo unahalibu watu. hivyo ndivyo washindi wanavyoishi, amini na kitenda.
ni loosers akina magufuli na akina makamba ambao hutenda na kuamini vinginevyo ikiwemo kujishirikisha na ramli.
 
Wakuu salaam!

Hold up, nakuletea habari ambazo sio ramli ni siasa tupu. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.

Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.

Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology. Kama unakipenda chama utabaki salama lakini kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.

Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.

Hivi Shekh Yahya Hussein (RIP) aliwaacha wangapi wanawe ?
 
Back
Top Bottom