Itategemea upo state gani, nafikiri kuna baadhi hali ya hewa zao huvumilika ila kwa ujumla misimu yote ni mateso, winter baridi inapuliza kisawasasawa, summer joto sana yaani bongo hakuna joto bobu hivyo bas hali ya hewa ndio inawaua homeless wengi na sio njaa.
Upo sahihi ila mara nyingi matukio kama hayo kunakuwepo na mtu wakaribu na Rais aloamua kumsaliti yaani katika timu yake ya walinzi anaowaamini sana yupo mmoja ndie anaweza kusaidia kufanikishwa kwa suala hilo
Mkuu umeshawahi kufanya kazi Special forces hongera sana
Upo sahihi ila mara nyingi matukio kama hayo kunakuwepo na mtu wakaribu na Rais aloamua kumsaliti yaani katika timu yake ya walinzi anaowaamini sana yupo mmoja ndie anaweza kusaidia kufanikishwa kwa suala hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.