Recent content by mantebo

  1. M

    Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

    Hilo ndio jambo linalo shangaza badala ya kujadili hoja za msingi wanajadili walio toka nje nakuishia kuwatukana kiukweli spika ametukosea watanzania yampasa atube ladhi.
  2. M

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Lisemamwalo lipo, kama halipo lajwa!! Tumakinike watanzania.
  3. M

    Kiseryi Chambiri: Mtazame Lowassa vizuri

    Tunapaswa kifikiri kwa kina, ningekua na uwezo wa kuwashauri wa tz wote ningewaomba tumpeleke ikulu mtu anaye toka nje ya ccm, yamkini atatusaidia kuwa bana mafisadi.
  4. M

    Hivi mjasiriamali anazaliwa, anatengenezwa?

    Oky nami nichangie kidogo ninacho faham, jinsi unavyo jisikia ndani ya nafsi yako hivyo ndivyo ulivyo, kwa mfano ukimuona mtu amefunga tai amependeza ana enda oficen unajisikiaje? Furaha na unatamani ungekua ww? Na ukimuona mtu amevaa kawaida yupo dukani kwake au kwenye biashara yake...
  5. M

    Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

    Mmmmmm! Sijui kama kweli maana hizo ni pesa nyingi sana, mh mm nazihitaji kama d amekataa
  6. M

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    serikali tatu ndio maoni yetu wananchi, sababu ziko nyingi sana ila naomba nikupe moja tu, kunaumuhim gani kutumi pesa za walipa kodi wa tanganyika kuwalipa posho na mishahara wanasiasa wa zanzibar ambao hatukuwachagua ss na hawana mchango wa maendeleo ya watanganyika? Tunataka 3 kodi zetu...
  7. M

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Zaidi ninawashangaa vijana wanao unga mkono watu ambasio waadilifu katiaka taifa letu, coz mapendekezo mengi yaliyo tolewa na walioba yalikua na faida kubwa kwa ss vijana kwani tungweza kuwawajibisha viongozi nyakati ambazo wameshindwa kua waaminifu kwa kutumia lasilimali na pesa za walipa kodi...
  8. M

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    MM niwashauli ninyi mnao tulazimisha kukubali mawazo yenu kwamba katiba inayo pendekezwa ni nzuli nawasihi mkbuke usemi unao sema ukila na kipofu usshike mkono, hivi haki zipiambazo mmetoa? hizo haki za makundi umezitoa katika ibala ya pili lakini ilbala ya 21 mkasema hakuna mahali pa kuzidai...
Back
Top Bottom