Recent content by Mansool

  1. M

    CHADEMA msiwaongopee wafuasi na wanachama wenu kuhusu Zitto Zuberi Kabwe

    Wewe ndio unatakiwa upewe elimu Kwani aliyekimbilia mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama ni nani zzk amekuwa mbuge wa mahakama kwa muda kwani chama kilimvua uanachama mahakama ikambeba mpaka ikafika mahali akaandika barua ya kujiuzuru lakini alikuwa amekwisha timuliwa chamani ila zzk kwa...
  2. M

    Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

    Mkatae wewe na mkeo watanzania wanamtaka huyo huyo
  3. M

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Wa Tanzania Tumeamua hata kama LOWASA atakuwa hoi kitandani ataapishwa hapo hapo kwa hiyo wewe mleta newz kawaambie wenzako hivi watanzania wemeisha choka na ccm na propaganda zenu zote mwaka huu ccc kifi cha MENDE CHAALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    kwa hili ITV wamenishangaza

    Kweli imeandikwa katika maandiko wataona na kusikia lakini hawataele wa, hivi kuna tv station iliyorusha habari hii kwa muda mrefu kuliko itv bro acha chuki na itv kama walikunyima kazi usiwalaumu laumu elimu yako labda haitoshi kuajiliwa hapo
  5. M

    Sababu za UKAWA kukaribia kusambaratika

    Ukiona mtu ameweza kufungua account jf ujue ana uelewa wa kutosha hivyo hizi propaganda mlizosomeshwa na ccm hazitaweza kubadilisha ukweli kuwa uongo ccm waliisha fanya yao hawakushinikizwa na mtu yeyote tulieni basi na ukawa wafanye yao mbona hamlali kisa ukawa nyie vipi ?
  6. M

    Mkutano wa CUF kuhusu hatma ya ushiriki wao UKAWA,Leo tarehe 25 Julai, 2015

    Hekima busara na maamuzi ya mungu yakatawale kikao hicho mungu abariki kikao hicho kwani tunatambua ukawa ndio tegemeo lililobaki kwa watanzania cuf fanyeni maamuzi yenye faida kwa watanzania hata nyie ni chama muhimu sana katika muungano wa ukawa
  7. M

    CHADEMA tutakuja kwenye mikutano yenu Kanda ya Ziwa, ila kura kwa Magufuli

    Kama kweli hiyo ndio elimu uliyonayo na unachokiandika hapa unadhalilisha sana vyuo vyetu bro ,
  8. M

    Ajali: Basi la Simiyu Express laparamia mbuyu, abiria baadhi wapoteza maisha

    Muda mwingine lawama nazipeleka kwa trafic na wanausalama barabarani kwani mchana mabasi huwa yanamulikwa na toch zile za kupimia mwenda na kuna muda maalum madereva wameamriwa kutembea kituo hadi kituo kuna muda nilisafiri kutoka mwanza kwenda dar tulikuwa tunalazimika kusimama nje ya mji ili...
  9. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kaka kitu cha kwanza futa hizo picha na video za ngono kwenye cm yako hata zile zinazotamanisha zitoe pili mwambie mkeo ili hisia za kupiga master zikija mwambie akupe chap ili kumaliza haja kikubwa ni wewe kujua master ina adhari kubwa ikiwemo kupofuka macho na mishipa ya mboo kukosa nguvu...
  10. M

    ONYO: Msizuzuke na wingi wa watu majukwaami

    Duuuu, kweli huyu jamaa ana mahaba niue kwa CCM, yaani tangu Magufuli kaanza kuzunguka hakuona kama Watanzania hawana kazi, leo peoplez wameamsha popo kidogo tu ameibuka. Sasa kwa taarifa yako, hiyo ni peoplez peke yake bado UKAWA, tuliaaa dawa ikuingie na acha kutukana Watanzania kuwa hawana...
  11. M

    Njama za kuhujumu upinzani zabainika

    Big up bro sasa tutafanyaje ili umma wa watanzania wapate habari hizi ili yakitokea tujue la kufanya
  12. M

    Oops hata Mkono nae hajatimiza Ahadi Nyabange?Wananchi waidai CCM kutimiza ahadi

    Sasa mbona riport yao iliyosomwa pale dom dom inaonyesha ilani imetekelezwa kwa 90 % ????
  13. M

    Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

    Wadau nimeona wengi wanaomba post nyingi uandike na chanzo yaani ulipoipata habari hiyo, naomba mfahamu kuna habari nyingine si sahihi kutangaza hadhalani chanzo ulipopatia habari hiyo inategemea umeipataje unaweza kupata habari kwa mashart kwamba itoe na usiseme chanzo lakini tumeshuhudia...
  14. M

    Kafulila na Kubenea kupewa tuzo na taasisi ya Dream Sacces Enterpricess

    Hondera Kafulila na Kubenea kilichobaki nchi hii ni kujitoa muanga kwa ajili ya taifa tukiogopa kufa basi ndio mambo hayatasonga uhai ni mtamu lakini ushujaa ni zaidi ya uhai hasa unapolilia haki ya wanyonge mungu awape nguvu na maona , awalinde na maadui mafisadi wanaotumia nguvu kubwa...
Back
Top Bottom