Recent content by Manreal

  1. M

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Wakuu mimi nimeaply diploma nimepata vyuo viwili sasa netumiwa code na nacte nikaingia website yao nakuta nimethibitishwa vyuo viwili vyote.. Je nawezaje ku confirm kimoja [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jamani

    Mimi nimeingia jadi hapa sasa sijui wapi pa kuendelea
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jamani

    Mm nimeipata jana kupitia email yangu, lakin sijui jinsi ya ku confirm nielekeze kiongz
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jamani

    Deadline ya kuconfirm NACTE chuo utakachoenda kwa hii round ya kwanza ni lini? Na je, naconfirm kwa kutumia website yao au vip?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hata watu walioapply diploma wanatumiwa code kama wale wa degree?

    Kwani hata wa diploma wanadahiliwa na TCU sio NACTE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hata watu walioapply diploma wanatumiwa code kama wale wa degree?

    Samahan ndugu zangu, hivi kama umeapply diploma halafu ukachaguliwa vyuo zaidi ya kimoja unatumiwa code ili uconfirm kimoja au inakuaje? Na je kama kuna kuconfirm alafu ukashindwa kuna shida?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

    Kwani bado mkuu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

    Jaman hivi ni mimi mwenyewe tu ambaye sijapata majibu kuhusu vyuo hadi mda huu kwa upande wa diploma au wapo wengine??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaojua kuhusu Engineering

    Jamani ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa juu ya hili jambo nipate uhakika sio kubahatisha bahatisha maana nimeambiwa na wengi sana hili jambo. Je, hivi ni kweli kwamba watu wanaosoma Diploma ya Mechanical Engineering huwa wanasoma utengenezaji wa magari zaidi? Naombeni msaada hapa.
Back
Top Bottom