Kwa wale mnaojua kuhusu Engineering

Manreal

Member
Oct 1, 2020
9
0
Jamani ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa juu ya hili jambo nipate uhakika sio kubahatisha bahatisha maana nimeambiwa na wengi sana hili jambo.

Je, hivi ni kweli kwamba watu wanaosoma Diploma ya Mechanical Engineering huwa wanasoma utengenezaji wa magari zaidi?

Naombeni msaada hapa.
 
Kulingana na utambulisho wenyewe(Mechanical engineering) nadhani ni mitambo kwa ujumla incl viwandani,hospital machinery,kwenye meli etc labda muhusika ajichagulie kudili zaidi na magari au kingine ktk hivyo.

Jibu linaweza lisiwe sahihi sana ngoja waje na wengine kufafanua zaidi.
 
Jamani ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa juu ya hili jambo nipate uhakika sio kubahatisha bahatisha maana nimeambiwa na wengi sana hili jambo.

Je, hivi ni kweli kwamba watu wanaosoma Diploma ya Mechanical Engineering huwa wanasoma utengenezaji wa magari zaidi?

Naombeni msaada hapa.

Diwnload prospectus za vyuo mbalimbali utaona kasomo/ course wanazosoma
 
Back
Top Bottom