Recent content by Manopter2012

  1. Manopter2012

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

    PEP sio PPE
  2. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    Upo sahihi ila shule aliyopangiwa ipo kama 25 km toka bunda mjini. Maisha ya Bunda ni kawaida sana hata wengine tometoka mikoa ya mbali huko tumeweza kuishi
  3. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, kwa kuwa mtoto wa Neema ndio aliyekufa, Uchunguzi sasa uhamie kwenye sababu za kifo cha mtoto, kikao cha MPDSR kije na majibu sahihi!

    Umeongea vyema ujauzito sio dharula.. shida tumeshika ya wanasiasa kuwa huduma ni bure..
  4. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Tuliotumia hii teknolojia tukututane hapa tunakumbuka wapi

    Yeah bado ipo hio barabara... its home land uwemba
  5. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Tuliotumia hii teknolojia tukututane hapa tunakumbuka wapi

    Huyo mzee atakua alikuwa anaishI njombe. .. ilikuwa ni ujanja tu. Hio ilikuwa land rover 108 au 109
  6. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Dar kwenda Butiama Kwa usafiri wa basi

    Hakika hii taarifa nilisikia zamani RTD na repota alikuwa anaitwa BEN KIKO
  7. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    Nami nawishi nione picha zao
  8. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Na mhasabu lini akaendesha gari ya serikali inaonekana alikuwa na gari binafsi
  9. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

    Mkuu umesahau kikokotoo
  10. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    In Inaombwa kwa njia gani?? Msaada plz
  11. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Wenyewe wanasema mwendo wa ngiri mkia juu.
  12. Manopter2012

    JamiiForums Tanzania Wanazuoni wa kiislamu toeni elimu kwa Waumini, wasioulewa vizuri Uislam wao

    Hawa watu uelewa wao ni mdogo
Back
Top Bottom