Recent content by MANOHOT ESCULENTA

  1. M

    Kwanini wavuta bangi huongea maneno yenye busara sana?

    Simple Eg: Sikiliza nyimbo za mchiriku ambazo kwa asilimia kubwa huimbwa na wavuta bangi.
  2. M

    Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    Ifute kabisa isiwepo kwenye cm. Maana binafsi sioni sababu ya kusave namba ambayo unayo kichwani zaidi ya kujaza phone book tu. Na akikuuliza tena why hujasave namba yake mwambie najua kwa kichwa.
  3. M

    Je, ni sahihi mpenzi kuja kwako bila taarifa?

    Kwa jinsi nilivyo mzururaji akija kwangu bila taarifa kila siku ataambulia patupu.
  4. M

    mkapa hakusema watanzania wapumbavu bali chama video

    Amekuajiri kuwa msemaji wake?
  5. M

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Songea - Dar kulikuwa na Ruvuma Line, Mwendo wa Saa na Tawaqal.
  6. M

    Msaada: Natafuta fundi wa kuezeka bati Kibaha

    Mimi nimejenga Kibaha visiga nitafute kwa 0712258585 nikuinganishe na fundi aliyeniezekea. Sample ya kazi yake ipo kama utahitahi kuiona.
  7. M

    Nataka nichukue uamuzi wa kuachana na huyu mwanaume, naombeni ushauri

    Tatizo siku hizi wadada wengi mnatega mimba makusudi ili kushinikiza kuolewa bila kufanya uchanganuzi kama huyo uliyenaye kwenye mahusiano anakupenda kweli au la na mwisho wa siku haya huwa ndo matunda yake. Yawapasa kujua kuwa sio kila mahusiano lazima yaishie kwenye ndo mengine hupita kama...
  8. M

    Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

    ' Mjini shule '. Atahitimu baada ya muda mchache tu.
Back
Top Bottom