Recent content by manndungu

  1. manndungu

    JamiiForums Tanzania Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

    Sasa kwanini ununue nje wakati ndani vipo? Huwenda ikawa kosa ni wewe kununua vitafunwa nje then ukazamanavyo ndani
  2. manndungu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo vip mikeka
  3. manndungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mwendelezo please
  4. manndungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Mzee baba vipi wewe ndio unatakiwa kujiongeza hadi namba ya simu imeachwa hapo kwenye bandiko
  5. manndungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Huwenda ikawa anawatafutia bar
  6. manndungu

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Nikweli kabisa, ukimwambia jamaa hataki kuelewa, maelezo ni mengi sanaaaaa
  7. manndungu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Kwani Nijuavyo mimi pikipiki inanunuliwa ikiwa na hivyo vioo, sasa nitoe 10000 ya kununua vioo vya nini tena!?
  8. manndungu

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Vyakula vya kueleweka ndio vipi hivyo mkuu!!??
  9. manndungu

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Huyu jamaa inaonekana ni tapeli mzoefu sana
  10. manndungu

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Hahahaha, nikatembea weeee mara nikachoka
  11. manndungu

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Hujaelewa tatizo, sasa mambo ya nikatoka hapa nikatembea polepole mara nikajikwaa sijui nikapita uchochoroni mara nikanywa bia nikainyanyua chupa hivi na vile, acha kuzunguka mbuyu nenda kwenye point, unapoteza maudhui ya simulizi yako
  12. manndungu

    JamiiForums Tanzania Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Changarawe, hata gari ndogo inaenda, hata bajaji huwa zinaenda kabisa
  13. manndungu

    JamiiForums Tanzania Filamu: Mwili wa mwanamke aliyekufa kwa sumu, umepotea Mochwari

    Naomba hiyo link ya WhatsApp mkuu Namba hiyo link ya WhatsApp mkuu
Back
Top Bottom