Recent content by Manlax

  1. Manlax

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe hadi sasa, sijawahi kushika wala kuona bidhaa au kifaa chochote toka ISRAEL

    Wanauza Bendera, hujawahi ona bendera za Israel kitaa.? 🇮🇱🇮🇱
  2. Manlax

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

    So far haya majiko, specifically ya ECOA yenyewe yemekuja na Built-in app ambayo yalilenga kwaajili ya Kuyachukua kama Mkopo then unakua unalipia kidogo kidogo kama zile simu za Mkopo. Japo unaweza lipia moja kwa moja na ukalimiriki. Pia wanakuunganishia kwenye simu na linakua na Serial number...
  3. Manlax

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

    Vitengo ni sawa na units. So kama ni 1.52 vitengo. Maana yake umetumua 1.52 units kwa siku husika. Ama kama ni 0.235 vitengo. Maana yake umetumia Units 0.235. Unaweza kuangalia umetumia units ngapi kwa Siku husika, wiki hata Mwezi ama Mwaka mzima kabisa.
  4. Manlax

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

    Pia uzuri wa majiko ya ECOA unatumia App ya simu kwaajili ya kuangalia matumizi yako ya kila siku. Wanakuunganishia moja kwa moja kwenye simu yako kwaajili ya kufuatilia matumizi yake. So far ni jiko zuri na matumizi yake ya umeme ni kidogo mno. Mimi pia nalitumia kama Main jiko na Gas ni kama...
  5. Manlax

    JamiiForums Tanzania Tunauza Sungura

    Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara. Tunaishia kuwalaumu wageni. Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.? Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi. Wabongo tubadirike.
  6. Manlax

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NRNE
  7. Manlax

    JamiiForums Tanzania Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Welcome to the club
  8. Manlax

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

    Kuna kijiji kinaitwa Kitwechenkula kiko Kyerwa huko karagwe. Ni noma aiseee 😄
  9. Manlax

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha za misemo mbalimbali ya kwenye magari

  10. Manlax

    JamiiForums Tanzania Ila shule kulikuwa na watu wajuaji sana aisee

  11. Manlax

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Tyres naombeni ushauri zipi zina ubora

    Go for Triangle. You won't regret.! Imekaa vizuri hata kwa muonekano na profiles zimekaa vyema sana.
Back
Top Bottom