Recent content by manking

  1. manking

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Ya Mvua Kubwa yatolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA

    Hii si ya kupuuza jamani huenda ikatokea kweli, tuchukue hath.
  2. manking

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viwavi jeshi vyateketeza heka 20 za mashamba ya mahindi Mvomero

    Nashukuru mkuu ngoja nizitafute
  3. manking

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Viwavi jeshi vyateketeza heka 20 za mashamba ya mahindi Mvomero

    Jamani hili tatizo ni kubwa sana msaada was haraka unahitajika ikiwemo wataalumu watuambie ni dawa gani itakayofaa. Mimi pia ni muhanga was hili.
  4. manking

  5. manking

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa upimaji wa udongo wa bei nafuu kwa kilimo bora

    Thanks.
  6. manking

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa upimaji wa udongo wa bei nafuu kwa kilimo bora

    Sample inatakiwa ichukiliwe kina gani cha ardhi
  7. manking

    JamiiForums Tanzania SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    Kama wamepatikana na hatia sheria ifuate mkondo wake.
  8. manking

    JamiiForums Tanzania Tanzania backs out of EAC deal with EU over Brexit

    Safi sana.
  9. manking

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Dalili zinaonyesha Magufuli ni Dikteta

    Watakao kuelewa hapa ni wachache tu maana salio wengi nivipofu wa fikra japo wana macho. Dr. Slaa atkumbukwa milele underline my words.
  10. manking

    JamiiForums Tanzania Magufuli piga kazi mkuu, wengi walikutabiri

    Ukweli ni kwamba" HAKUNA UPINZANI TZ, WAZALENDO NI WACHACHE TZ, SIASA NA ULAGHAI KWA WANANCHI NDIYO NGAO YA VYAMA KWA SASA. Hamuwezi kuishi kwa kuviziana fulani kafanya nini,ushauri wangu viongozi wote bila kujali vyama watumikieni wananchi msitafute umaarufu acheni umaarufu uwatafute.
  11. manking

    JamiiForums Tanzania Kazi imeisha: Ugandan experts explain choice of Tanzania for pipeline route

    Yes indeed job opportunities as well.
  12. manking

    JamiiForums Tanzania Waongeza wowowo wote, angalizo

    hatareeeeee!!!!!!
  13. manking

    JamiiForums Tanzania Visa vya CCM vyaanza kuonekana Dar es Salaam

    Mlitaka muachiwe ili muibe imekula kwenu mtasubiri sana
Back
Top Bottom