Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Lori ya mafuta jioni hii imeteketea kwa moto na kusababisha kuziba barabara kutoka kongowe kuelekea Kigamboni kufungwa kwa masaa 4. Lori la mafuta aina ya Scania limeanguka katika maeneo ya Mwembe mtengu baada ya dereva wa lori hilo kukwepa bajaji iliyoingia ghafla barabarani ikitokea mtaani.
Licha ya wasamalia wema kufanya mawasiliano na vitengo vinavyohusika na uzimaji moto lakini mpaka saa 2.00 usiku hakuna chombo chochote cha uzimaji moto kilichofika licha ya kuwepo jeshi la polisi.
Licha ya wasamalia wema kufanya mawasiliano na vitengo vinavyohusika na uzimaji moto lakini mpaka saa 2.00 usiku hakuna chombo chochote cha uzimaji moto kilichofika licha ya kuwepo jeshi la polisi.