Rais wetu ametuwakilisha vizuri sana. Ile speech ilikuwa re conciliatory kama Madiba alivyokuwa. Unajua kule South kuna issue ya ku sideline waafrika wahamiaji. Ni issue kubwa kwa wanaoenda kutafuta maisha kule. Vijana wengi wenyeji wanawaona immigrants kama tishio katika fursa za ajira. Hivyo...
Anastahili heshima kutokana na kazi ya Mwalimu Nyerere. Nyerere na Mandela ni kielelezo cha viongozi wa Umma (wanasiasa) wanavyotakiwa wawe. Total commitment . sio ubinafsi!!!!
Kweli watanzania hatupendi facts. Tunalewa mahaba.Niliona mdahalo ule. Muhongo katoa facts za kutosha. Mzalendo wa kweli atayaelewa maneno yale. Kuropoka tu kwa sababu ya ushabiki hakujengi nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.